#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Yeah

Watu wanajipigia tu

Magufuli hana tofauti na, mume mwenye mke pisi kali

Anambana mkewe, anamwonea wivu kama wote,hataki aongee na wanaume wengine na hayuko. Tayari kuona anashare utamu na wana wa kitaa

Ila siku akifa, mkewe watu wanajinyofolea tu
Pole saana, unaishi lakini akili imekufa
 
Rais magufuli Kama yesu, amekufa lakini bado watu wanamkumbbuka.

Yesu alifari miaka takriban 2000. Lakini Hadi Leo anakumbukwa Tena kwa shangwe
 
Back
Top Bottom