Technologia ndiyo driver wa Maisha ya Mwanadamu kwa sasa.Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa.
Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa.
Gharama za Usafiri imebidi SHIPLINERS waziongeze kufidia muda mrefu wa kusubiri hapo Bandarini.
Sasa hivi Wafanyabiashara kutoka CONGO DR, RWANDA, MALAWI, ZAMBIA, UGANDA wameanza kukimbilia Bandari ya Mombasa kupitisha mizigo yao.
Mheshimiwa Rais Samia, ukicheka na nyani utavuna Mabua., wananchi vitu vitazidi kupanda bei bila sababu yoyote ya maana.
Nimekuwekea na VIDEO uisikilize kama ushahidi mwingine.
KAZI IENDELEE
Sidhani kama kuna mtu anapenda kuacha kupakua Mzigo kwa Sababu tu anataka kula..
Technology iliyoko siyo Shindani.
Na Ndiyo maana Mh Rais alitoa angalizo la kuwekeza kwenye Bandari ya Bagamoyo.
Uwezo wa Bandari ya Dar ni mdongo...
Technology zilizoko pale...ni dhaifu....
Let's review our Policies in favour of addressing our Economic Growth Issues.