Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
I hope mmejifunza binadamu sio malaika kupatia kila kitu na tena sio shetani kukosea kila kitu. Mtakuwa mmejifunza kukosoa makosa na kusifia mazuri.Ukweli tuliokua tunampinga Magufuli sasa ni kama tunaona aibu tu; mambo mengi kwasasa yapo yapo tu, maadamu kunakucha! Bandari, umeme, maji, ajali barabarani, vibaka is almost vyote vimerudi kama zamani. JPM alikua mwamba, wabishi wote wanaongelea mdomoni tu but mioyoni mwao wanamkubali!