Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

I hope mmejifunza binadamu sio malaika kupatia kila kitu na tena sio shetani kukosea kila kitu. Mtakuwa mmejifunza kukosoa makosa na kusifia mazuri.
 
k
Samia hata akijitahidi kuonesha hataki utani hafananii na kiongozi alie serious, na vile nina wasiwasi nae anaweza kwenda huko bandarini kukagua halafu wajanja bado wakaiba akiwepo, huyu Rais wetu kwakweli sijui namuonaje...
kuwa kiongozi aliye serious anatakiwa kuwaje?
 
Huo ni mfupa uliomshinda fisi, kuna uozo mmbaya sana.
Kuna uozo lakini hakuna anaekuja na suluhisho.Hiyo bandari imezidiwa kwa hiyo lazima ikaribishe inefficiency ambayo ndio chanzo cha dili.Lakini pamoja na yote haya bado bandari ya Dar makusanyo yanaongezeka kila mwaka.
 
Haya mambo ya WIZI,Rushwa,upendeleo,uvivu,unafiki na ujanja ujanja yanaendelea Kuota mizizi huitaji miwani kuona hizi dalili.
Kwani ni lini yaliisha? huoni hata huko kwenye vyama vyenu ni hivyo hivyo kupeana vyeo na upendeleo
 
Mma huyu hpn kwa kweli Bora mwNamke mwingine ila siyo huyu
 


Kweli kabisa!
 
Jeshi tutawekewa vikwazo vingi hpn wanajeshi Ni ccm pia rais Ni lzm kuwa dictator tu Africa mambo yataenda ila haya mambo ya kura kura na kubembelezana haiwezekani
 
Pale hata akiweka kambi, lazima watamzunguka tu, tena watapita mbele yake huku wakisema mama kazi na iendeleee - achana na kitu kinaitwa Tanzania sheikh.
 
Mikakati ya kisayansi ambayo wew mwenyewe umeshindwa kuitwja ni ipi wew unadhani mpaka mtu anacheze scaner na mifumo ya TPA kuna sayansi tena au ni kufukuzana tu
Nimeshindwa kuitaja, mimi ni consultant wa bandari? Kuchezea scanner na mifumo ndiyo mwisho wa sayansi? Anyways, mambo mengine siyo kila mtu ana uwezo wa kuyaelewa.
 
Kasimu yupo yupo tu na matamko yasiyokuwa na tija was matokeo chanya
 
Behaviourist UTAKUWA NA MATATIZO YA AKILI
Kati ya huyu mtu ambae ni kiongozi wa nchi ambae anahamasisha ufisadi waziwazi katika Taifa tena kupitia TV ya Taifa,wewe ambae unamuunga mkono na mimi ambae napinga kampeni ya ufisadi wake waziwazi ni nani mwenye matatizo ya akili?
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu kwa Bandari nadhani hata angekuja kutawala nani! Pale ni pagumu.

Kama kwa Mwendazake ambaye alikuwa mkali na akamweka mtu wa karibu yake aliyekuwa mkali lakini upigaji ulikuwa palepale sembuse Mama?
Matatizo ya bandari yalianza wakati wa Waziri Mwakyembe alpoamua kuvunja Bodi na Management yote. Kakoko akateuliwa CEO lakini nafasi nyingine zote zikajazwa kwa njia ya :"Head Hunting". Pamoja na uzuri wa HH lakini ni njia ambayo ni rahisi kutumiwa vibaya.
Wangetumia njia ya kawaida tu( competetive interviews) kupata Management ambayo ina watu wenye weledi na uzoefu kwenye sekta ya bandari kuliko kwa mfano unamtoa mtu ambaye ni mtaalamu wa barabara aende kuwa mtaalamu wa port operations. Na watu hao wapo.
 
Mkuu kwa Bandari nadhani hata angekuja kutawala nani! Pale ni pagumu.

Kama kwa Mwendazake ambaye alikuwa mkali na akamweka mtu wa karibu yake aliyekuwa mkali lakini upigaji ulikuwa palepale sembuse Mama?
Upigaji ulikuwepo lakini kazi ilifanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…