Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Chura kiziwihii kauli ya nani ? trump?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura kiziwihii kauli ya nani ? trump?
CCM muwe mnaangalia uwezo kiakili was mtu kabla ya kupewa uongozi!!
Kibao alikua mwana intelejensia mstaafu wa jeshi sio mgombea was urais kama trump!
Hivi mama yangu Samiah anajia gharama ya kumtengeneza intelligence mmoja kwenye taifa na madhara ya kumpoteza Tena kizembe vile bila taarifa za kueleweka yaani anatupwa TU kama mzoga wa mnyama!!?
Tuache kutumia uswahiba kwenye teuzi bali uwezo!!
Hiyo ni moja kati ya remark ya hovyo sana Toka kwa namba moja!
Ndio hasara ya kuokota okota watu wa kuongoza nchi.
CCM muwe mnaangalia uwezo kiakili was mtu kabla ya kupewa uongozi!!
Kibao alikua mwana intelejensia mstaafu wa jeshi sio mgombea was urais kama trump!
Hivi mama yangu Samiah anajia gharama ya kumtengeneza intelligence mmoja kwenye taifa na madhara ya kumpoteza Tena kizembe vile bila taarifa za kueleweka yaani anatupwa TU kama mzoga wa mnyama!!?
Tuache kutumia uswahiba kwenye teuzi bali uwezo!!
Hiyo ni moja kati ya remark ya hovyo sana Toka kwa namba moja!
alisema kifo ni kifo tuuuMods msifute huu uzi, ni hazina ya taifa.
Kazi ipoTusubirie Polisi kutuua sasa vizuri huku wanacheka na hivyo wameahidiwa magari ya kisasa hahahahaaha utadhani ya kwao. Very soon watakua wanaendesha V8 wakuu wote WA vituo
Wana hela za kutosha wala hawategemi hizo hesabu za magumashi za vikokotooWakistaafu kikokotoo kinawasubiri
Hotuba ya Leo ina majibu yote yanaendelea nchini...bado mnatafuta Tena who is behind?
Trump akisikiliza hii hotuba atacheka sana na kusema Sasa mnanielewa niliposema hizi nchi zitawaliwe Tena.
Yaan kanaongea kirahis sana,afu kamejaa kiburi,kanajiamin
Ku undermine kifo cha mzee kibao shows rais anajua watekaji....na serikali yake iko responsible kwa utekaji
Hy ni Rahisi na hawezi kua Rais
Hivi familia ya Ali Kibao inayachukulia namna gani maneno kama haya? Baba ambaye ndio bread-winner, anauawa kikatili namna hiyo halafu mtu anasema kifo ni kifo tu! Kijeli za aina hii ziliwahi kuangusha falme: Aulize historia ya Ufaransa: Marie Antoinette aliangusha ufalme wake kwa kijeli akisababisha mapinduzi ya Ufaransa.
Brother huyu mtu ukipata dk 5 tu za kumsikiliza bila kusoma hotuba unaona kabisa ana uwezo mdogo sana
Hajafikwa na kifo cha namna hii
KIfo ni kifo..
Haya ndiyo majibu yanayowapandisha wananchi hasira.