Rais Samia: Inashangaza kifo cha Kibao kimeibua wimbi kubwa, hii sio sawa, kifo ni kifo

CCM muwe mnaangalia uwezo kiakili was mtu kabla ya kupewa uongozi!!

Kibao alikua mwana intelejensia mstaafu wa jeshi sio mgombea was urais kama trump!

Hivi mama yangu Samiah anajia gharama ya kumtengeneza intelligence mmoja kwenye taifa na madhara ya kumpoteza Tena kizembe vile bila taarifa za kueleweka yaani anatupwa TU kama mzoga wa mnyama!!?

Tuache kutumia uswahiba kwenye teuzi bali uwezo!!

Hiyo ni moja kati ya remark ya hovyo sana Toka kwa namba moja!
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…