Rais Samia: Inashangaza kifo cha Kibao kimeibua wimbi kubwa, hii sio sawa, kifo ni kifo

Anaongelea mambo ya marekani kwamba hajui kwamba tayali watuhumiwa wameshikwa na wanahojiwa 🤔 huku nani ameshikwa hadi sasa hivi kwa mauaji na kupotea kwa watu 🤔Hivi bado kuna wapumbavu bado wanakaza shingo kumtetea bibi yao 🤔
Wanalipwa vizuri mkuu
 
Sasa kama haya matukio ya mauaji yanawauma mbona hawaachi kuua? Si waache basi? Wewe unaua unaumia halafu unaendelea kuua? Uchizi huo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…