Smart Dude
Senior Member
- Sep 23, 2023
- 114
- 161
Mkuu did you expect Amiri Jeshi Mkuu, aseme hadharani kuwa hana imani na jeshi la polisi, come on!!! Hauko serious. Hizo frustration ulizonazo ni za kujitakia tu.Watu wamevumilia na kuugulia maumivu kwa muda kwa vifo vinavyotokana na kuteka,kutesa na kuuwawa ukijumlisha na vingine vyenye utata.
Nyongo imewazidi na wameamua kutapika.Hakuna mtu mwenye imani na polisi&the coys kama ambavyo chombo huru kingetumika au usaidizi wa nchi zenye weledi na nia njema vingetumika.Aelewe hilo.
Hapana bwashee, uwanawake sio ishu, ishu ni kwanini ni muislam, hapo tu ndio wagalatia kinawanyima amani na kufanya mipango ovu yote lengo ni kumtia ila muislamu tu,Mi nadhani ni kwa sababu ni mwanamke...maana ukichunguza vizuri waislamu wenzie ndiyo humchukia zaidi....kwanza hawaamini Kama mwanamke anatawala
😓😭😭😭 Tanzania yetu jamaniHapana bwashee, uwanawake sio ishu, ishu ni kwanini ni muislam, hapo tu ndio wagalatia kinawanyima amani na kufanya mipango ovu yote lengo ni kumtia ila muislamu tu,
Rudi wakati wa kikwete halafu uangalie na wakati wa wagalatia wenzao utapata picha kamili
Tanzania ipo salama na itaendelea kuwa salama wala usihofu, kila adui atashughulikiwa kwa kadiri itakavyoonekana inafaa😓😭😭😭 Tanzania yetu jamani
Jpm alishambuliana na ben saa nane na tundu lissu wagalatia wenzakeKama ambavyo wagalatia wamepata sababu ya kumshambulia muislam, rais angekuwa mgalatia wala tusingewaona hapa , kimyaaaaa mungetulia tuliiii
Samia leo katoa boko. Wauaji wa Mzee Kibao kama shida ilikuwa kumuua tu wangeweza hata kumvizia wakampiga risasi moja tu kichwani yakaisha,lakini kitendo cha kumteka hadharani na kwenda kumtesa kiasi kile kuna ujumbe walikuwa wanatuma halfu mtu anasema ni kifo cha kawaida tu maana yake kuteka,kutesa na kuua ni jambo la kawaida tu. Mungu yupo na kamwe hadhihakiwi lazima atatuamulia huu ugomvi soon.Hi kauli kuwa kifo ni kifo tu inazidi kutupa uchungu watanzania.
Kama huyu mzee angekufa kwa kifo cha kawaida. Nani angelaani?
Sasa hili la kusema kifo ni kifo tu linatoka wapi? Panick au kujisahau?
Duuh... Hiyo kauli kaitoa Rais wa nchi tena akiongea na wanaotuhumiwa kuteka, kutesa na kuua watu!"Hisia za makundi yote niliyotaja zikiibuliwa na kifo kimoja tu cha Ndugu yetu Kibao lakini kuna vifo vinasemwa muda baada ya muda, Watoto Albino wanauliwa, Watoto wadogo wanauliwa, sijui Mzee kahisiwa uchawi kauliwa mpaka leo Watoto watatu wamekutwa wameuliwa huko Dodoma”
“Inashangaza kifo cha Ndugu yetu kibao kimeibua wimbi kubwa, kulaani, kusikitika, kulaumu kuita Serikali ya wauaji, kufanyaje, hii sio sawa, kifo ni kifo, sababu” —— Rais wa Tanzania, Dkt. Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro leo September 17,2024.
Nani kakueleza hayo?Alishindwa kuchagua maneno mengine?Mkuu did you expect Amiri Jeshi Mkuu, aseme hadharani kuwa hana imani na jeshi la polisi, come on!!! Hauko serious. Hizo frustration ulizonazo ni za kujitakia tu.
Kwi kwi kwi.Naona vijana wa hovyo wa chama cha hovyo mmeanza tena hata baada ya KM wenu kuwakemea kwa filamu zenu za hovyo!!!
achague maneno yapi? Aliyosema ndiyo ambayo alitaka kuyasema na ujumbe umefika. Kumbuka kibao pia aliwahi kuwa mwanajeshi kwa taarifa tulizosikia. haya mambo mengine unajipa stress tu bure ndugu yangu.Nani kakueleza hayo?Alishindwa kuchagua maneno mengine?
Kwa hiyo unataka tuanze kubishana?We namna gani?Tulia.achague maneno yapi? Aliyosema ndiyo ambayo alitaka kuyasema na ujumbe umefika. Kumbuka kibao pia aliwahi kuwa mwanajeshi kwa taarifa tulizosikia. haya mambo mengine unajipa stress tu bure ndugu yangu.
Ni kweli, na kaonyesha hawezi kuchezewa ndio maana kaanza utekaji na mauji. Hao mabalozi aliowapiga mkwara mbuzi wamebaki kumchora tu. Eti atawasiliana na marais wenzake, anadhahi huko wanakotoka hao mabalozi marais wa hizo nchi ni miungu watu, au anadhani kwakuwa yeye ni rais na kuna wanaomwabudu hapa, basi hata hao wazungu watamuamini yeye kuliko hao mabalozi wao!Mtarudi mlikokuwa awali,vibaraka hawana nafasi Nchi hii,kajifokezeni basi kwenye Samia must go tuone.
Kama mliufya awamu ya 5 na Sasa mtaufyata,mlidhani mnaweza mchezea Rais mnavyotaka si ndio?
Tuliona alivyoenda USA.Na tuliona kwenye mazishi kule Uingereza.Ni kweli, na kaonyesha hawezi kuchezewa ndio maana kaanza utekaji na mauji. Hao mabalozi aliowapiga mkwara mbuzi wamebaki kumchora tu. Eti atawasiliana na marais wenzake, anadhahi huko wanakotoka hao mabalozi marais wa hizo nchi ni miungu watu, au anadhani kwakuwa yeye ni rais na kuna wanaomwabudu hapa, basi hata hao wazungu watamuamini yeye kuliko hao mabalozi wao!
Nimecheka kwa nguvu, bado mnapambana na ukweli kwa hizo mbinu za kizee? Safari hii 40 za mwizi zimefika. Aliyemwambia huyu Mama akitumia mbinu za dhalimu magu atatisha watu, basi ameukalia.ukweli ni kwamba,
ni Muhimu Zaid kuiombea Chadema imalize Uchaguzi wake wa ndani salama, maana joto na baridi ya nafasi za uongozi wa juu linafahamika kwa waTanzania, na ndio hasa chanzo cha huo unyama walomfanyia kiongozi mwenzao Mzee wa watu mpooleee sana kamanda Ally Mohamed Kibao...
watu wengine wanatamaa na uchu wa madaraka mbaya sana,
sasa mtu huna uhalali, huna hoja, hukubaliki, wajumbe na wanachama wamekuchoka unang'ang'ania hadi unaua wenzio kweli?
inatia uchungu sana..
Nawatakia Uchaguzi mwema kwa sehemu na nafasi za juu za uongozi wa chadema zilizosalia 🐒
Mama kaonesha huruma kwa mauwaji yote yanayotokea Nchini na ndiyo maana kalitaka Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi kwa haraka na limpe report ya uchunguzi!!Mama hajaonesha huruma ya kimama kabisa.
Hao watekaji na wauaji bila shaka wana baraka zake.