Kwa hiyo hakuwa Makamu wa Rais? Au yeye alikuwa anakula kuku wa Ikulu tu na kodi zetu?
Hii taarifa hakupaswa kuisema kabisa..Ametoa hotuba nzuri ila nimeshtuka mama alipozungumzia mafua yanayodondosha watu mtwara je hii haiwezi kushtua wageni?
Dsm hii hii..au ipi??uchafu na dsm ni kama takle na ch..p.Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street.
Lakini kwasababu ya kutekeleza malengo haya tuliyoelekezwa na umoja wa Afrika na Dunia, tumeweza kuisafisha Dar es Salaam na hivyo hivyo tunasafisha majiji mengine makubwa kama Mwanza, Mbeya, Dodoma na kwengine kote pamoja na Arusha.
Jiji la DSM ni Wilaya ya ilala. Wilaya ya ilala ndio inaunda na halmashaur ya Jiji la DSMSijaelewa hapa, kabla ya 17/03/21 Aliyekuwa mwenye nchi alitangaza kuvunja jiji la Dar na kuunda jiji la Ilala. Mara zote nimekuwa nikisikia wakubwa wakiendelea kuliita jiji la Dar, kama uzi huu unavyosomeka, jiji la Ilala pia liliondoka 17/03/21???
Umesema 'Aliyekuwa'.Sijaelewa hapa, kabla ya 17/03/21 Aliyekuwa mwenye nchi alitangaza kuvunja jiji la Dar na kuunda jiji la Ilala. Mara zote nimekuwa nikisikia wakubwa wakiendelea kuliita jiji la Dar, kama uzi huu unavyosomeka, jiji la Ilala pia liliondoka 17/03/21???
Hao wapima usafi walipita Kwamtogole!!!Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street.
Lakini kwasababu ya kutekeleza malengo haya tuliyoelekezwa na umoja wa Afrika na Dunia, tumeweza kuisafisha Dar es Salaam na hivyo hivyo tunasafisha majiji mengine makubwa kama Mwanza, Mbeya, Dodoma na kwengine kote pamoja na Arusha.
Hii kauli yake; "limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli" ni dharau kwa wafanyabiashara wenye mitaji midogo.
Watu walikuwa wanajipatia riziki zao kwenye zile ofisi zao, kumbe kwa Samia ule ulikuwa ni uchafu!.
Anaonekana anataka kufanana na mtangulizi wake kwa kauli za kukera na kuudhi, madaraka yanalevya haraka sana.
Acha ujinga wako bwana. Amekosea nini kugusia usimamizi mzuri wa mipango miji?Hii kauli yake; "limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli" ni dharau kwa wafanyabiashara wenye mitaji midogo.
Watu walikuwa wanajipatia riziki zao kwenye zile ofisi zao, kumbe kwa Samia ule ulikuwa ni uchafu!.
Anaonekana anataka kufanana na mtangulizi wake kwa kauli za kukera na kuudhi, madaraka yanalevya haraka sana.
Makamu wa Rais hawezi kupingana na RaisKwa hiyo hakuwa Makamu wa Rais? Au yeye alikuwa anakula kuku wa Ikulu tu na kodi zetu?
Ripoti uchafu huo sehemu husika, sote tunajenga nyumba moja, ripoti katika ofisi ya mkuu wa wilaya.Yaani uchafu wote ulivyo kwenye viunga vya Dar es salaam unajisifu kuwa in safi?watu wanafika baadhi ya sehemu inawalazimu wazibe pua zao halafu unasikia Mtu anasema in ya 6 kw a usafi kweli?Tuache utani watz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mh.SSH juhudi zako za kuleta maisha ya kistaarabu zinaonekana..Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street.