lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Dar anayozungumzia sio huko kwenu Mbagala , Chanika , Tandika , Mburahati na Buguruni.Yaani uchafu wote ulivyo kwenye viunga vya Dar es salaam unajisifu kuwa in safi?watu wanafika baadhi ya sehemu inawalazimu wazibe pua zao halafu unasikia Mtu anasema in ya 6 kw a usafi kweli?Tuache utani watz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inazungumziwa Mbezi Beach, Upanga, Osterbay n.k