Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam la sita kwa Usafi Afrika. Asema limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli

Kwani ni lini Tzn ilitoka kuwa uchumi wa kati? Unajua hata vigezo vya kuwa uchumi wa kati?
 
Makamu wa Ras huwa hana maamuzi na kila anachofanya anakuwa anatekeleza maagizo ya Rais aliyeko Madarkani. Acheni kumhusisha SSH na uchafu wa Mwendazake
Kwenye ubaya hahusiki ila kwenye mazuri anahusika?

Mana mavi vichwani nyie machawa
 
Makamu wa Ras huwa hana maamuzi na kila anachofanya anakuwa anatekeleza maagizo ya Rais aliyeko Madarkani. Acheni kumhusisha SSH na uchafu wa Mwendazake
Kwa hiyo hata la kuongelea kuwa aliyempiga lissu risasi hakuwa askari wao nalo aliagizwa na rais? Mavi yakitumika kwenye uunzi wa ubongo ni shida sana.
 
Kwani ni lini Tzn ilitoka kuwa uchumi wa kati? Unajua hata vigezo vya kuwa uchumi wa kati?
Mama Samia ndio alisema tumetoka kwenye uchumi wa Kati na akaahidi tutarudi, japo haikua kweli nadhani alipitiwa
baadae bungeni alikuja kusahihishwa na waziri wa fedha kuwa hatujatoka uchumi wa kati
 
Mama chonde chonde huku bei ya chumvi haijapanda plz plz tufanyizie ipande, choroko nazo bei bado ndogo tunaomba mama.

Halafu hao wanyonge wa vimwamvuli walikua mashabiki wa KAYAFA wasage sage wakafie mbali walituharibia nchi.
Acha Roho mbaya
 
Mama Samia ndio alisema tumetoka kwenye uchumi wa Kati na akaahidi tutarudi, japo haikua kweli nadhani alipitiwa
baadae bungeni alikuja kusahihishwa na waziri wa fedha kuwa hatujatoka uchumi wa kati
Aliteleza ulimi tuu, Waziri wa Fedha alishaweka sawa .
 
Hao wapima usafi walipita Kwamtogole!!!
Siku moja moja awe anatembea kwa siri uraiani aone mauchafu hapa dar maana akitaka kwenda mahaliwasaidizi wako wanasafisha mji mitaro yote inasafishwa barabara zinasafishwa Kule majohe pugu diwani kafariki basi barabara zimewekwa kifusi na mazingira ya mengine yako safi avae kininja hata usiku ataona
 
Aliteleza ulimi tuu, Waziri wa Fedha alishaweka sawa .
Hata hili la leo kateleza pia, hatupo namba 6 sababu ya kuondolewa mabanda ya machinga, hiyo nafasi tupo tu toka 2020. Japo majarida yanayofanya hizo tathmini sio credible kivile hivyo hayapaswi kuchukuliwa kwa uzito sana na kiongozi mkubwa Kama Raisi

Mama Samia kwenye masuala ya takwimu aachane nayo, Kuna watu hapo karibu yake huwa wana-question uwezo wake shida hawawezi kumwambia sababu ya mamlaka aliyonayo. Awepo wa kumkumbusha hakuna Africa tour magazine.
 
Kateleza vipi wakati liko kwenye maandishi ambayo sio ya serikali? Kile alichoongea hakikunukuliwa na Shirika lolote la kiuchumi Duniani kwamba Tanzania imetoka huko.
 
Makamu wa Ras huwa hana maamuzi na kila anachofanya anakuwa anatekeleza maagizo ya Rais aliyeko Madarkani. Acheni kumhusisha SSH na uchafu wa Mwendazake
Acha kuleta siasa kwenye mambo ya msingi. Kumbuka Magufuli ndio Rais pekee alieitisha usafi nchi nzima na yeye akafanya. Lakini kwa sasabu alitaka watanzania wapate vipato aliwapa uhuru wa kufanya biashara huku serikali ikiendeleea kuandaa miundo mbinu.
Tena kuna vedio alimuita kabisa akamwambia watafute namna nzuri ya kuwapanga wamachinga .
Unamtetea kwa lipi wakati alikuwa anakula kodi zetu?.

Yeye akaingia kawatoa kwa mabavu, watu wamefirisika maisha yamekuwa magumu kama nini na hatimae wizi umekuwa mwingi. Au huko kwako maisha ni mepesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…