Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi.
Ukimkosea hana msamaha
Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa.
Magufuli huyuhuyu ninayemjua Mimi!
Angemtoa roho chap sana tena kikatili.
Wewe Polepole kama Samia angekuwa na roho ya kisasi kama yule Magufuli wewe ungepotezwa ndani ya siku mbili tu baada ya kuapishwa kwake.
Polepole, Ndugai na wenzako mlitaka mupindishe katiba ya JMT ambayo iko wazi kabisa kuwa Vice president ndiye anapaswa kukaa nafasi ya Rais aliyefia madarakani.