Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ni heri aseme kuliko kukaa kimya.Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi.
KUMBE WANAMCHUKIA kwa LIPI?Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao....
Watu wanamchukia yeye kwasababu ya mambo ya serikali.Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao...
Mzee wa MIGA....hahahaha, Yaani mnawapa watu majina mazito mazito siyo.Mzee wa MIGA zumbukuku yuko tayari kuchafua Tanzania inyimwe misaada
Mzee wa MIGA zumbukuku yuko tayari kuchafua Tanzania inyimwe misaada
Utendaji zeroManeno meeeeeeeeeeeeeeeengi.
Ukweli anajua kuwa bara watu hawamtaki basi tuMpaka kusema hivyo kutakuwa na kitu hakiko sawa
Sumu haionjwi by Sumaye Chadema!Utendaji zero
Umepata room?Sumu haionjwi by Sumaye Chadema!
Yeye mwenyewe haipendi nchi yakeUtapendaje nchi ambayo iko siku itapigwa mnada?
Uroho wa madaraka na mafao manono kwa watawalaSijajua kwanini CCM inakuwa kisima cha chuki!!!!