Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

Nimeuliza tu. Mambo ya Duni yameanzia wapi.
Unauliza nini? Hilo lina uhusiano gani na utendaji kazi hilo ni suala la faragha kwakwe, kejeli sio nzuri, wewe utampendeza mtu akianza kukuuliza masuala ya mama ako na baba ako
 
Aisee kama ni kero tuu zinatatuliwa kuliko kipindi kingine chochote,waulize wabunge na waulize ccm.Hakuna Mwenyekiti ametekeleza Ilani kama Samia.

Ila wewe huwezi kuona kwa sababu una chuki binafsi na Samia huwezi ona but tutakuonyesha.Hivi ndivyo kero zinatatuliwa kwa vitendo yaani Kazi,ajira na bata

















 
What goes around comes around. Nape, January na Riziwan walimchukia mtangulizi wako tena hadharani na hao hao umewapa kazi. Kama Urais ni taasisi maana yake hata wewe walikuchukia?
Kwa kweli katika vitu ambavyo mama ananishangaza nikuwateua akina makamba ili hali ndo wanamtukana jpm kila leo kwa nini asichukiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona hii mbuzi inakuja kuandika upumbavu gani hapa! Unalinganisha minority na majority ya watanzania?? Watu kama nyie ilitakiwa mnyongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Absoulutely, Though It Should Not Be As A Substitute For Freedom In Expressing One's Views or Perspectives.
 
Huyu SSH anaitaji msaada wa kisaikolojia. Inferiority complex inamsumbua sana.
Laiti yeye angejua kuwa kiongozi ni muongoza njia...
Haya ya kupenda au kupendwa hana mamlaka nayo!!

NB: Kuna umuhimu sana kuwandaa vizuri viongozi wa baadae...!!
 
Kwa kweli katika vitu ambavyo mama ananishangaza nikuwateua akina makamba ili hali ndo wanamtukana jpm kila leo kwa nini asichukiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazima kwa tanzania kila mtu ampende JPM? Acheni utumwa wa akili huyo JPM alicho kiweza tanzania ni kupandikiza u chifu na hicho ndicho kinacho wasumbua sana hadi sasa alijijenga yeye na sio kuijenga taasisi
 
Ona hii mbuzi inakuja kuandika upumbavu gani hapa! Unalinganisha minority na majority ya watanzania?? Watu kama nyie ilitakiwa mnyongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo majority ni ipi na minority ni ipi ? Tatizo huna akili za kuona mbali na umenyimwa akili hiyo ndio maana huoni na una akili fupi kama huyo jamaa yako

Ukiwabeba sana maskini na ukashikamana nao pasipo kuwapa challenge za kujituma kufanya kazi kulililisha taifa lao basi ujue taifa linakufa maskini pia

Nani alikudanganya kwamba kuwabeba maskini na kuwahudumia kila kitu bure ndio njia ya kuendeleza taifa ? Hizo hela za kuwahudumia zinalipwa nanani?

Wajenge wananachi katika misingi ya kulihudimia taifa sio kuwajenga wananchi katika misingi ya kuhudumiwa bure na taifa huo ujinga ndio ulio pelekea magufuli akaanza kutumia nguvu kunyang'anya watu matajiri pesa zao kwenye accounts zao.
 
Duh huu ushenzi kweli😅 kama hii ndio akili ya mama tumeisha
Hii ya kujipimia yenyewe siyo siri ya sirikali, naona anatoa ubuyu mwenyewe na hapo hapo anazuia wengine wasitoe siri.
 
Maza anadai Rais ni Taasisi lakini wakati wa kusifia kuwa Mama Katia pesa, mama katujengea barabara, mama hivi, mama vile huwa anachekelea moyoni.

Kama sifa xinampa raha basi akubali pia masimango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…