Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Nchi zinaozongoza kwenye mambo ya gender equality kama za Scandinavia, Wanawake bado wapo nyuma karibia kila nyanja licha ya miaka mingi sana ya kuwainua.

Ni wazi kwamba Wanawake kwenye nchi hizi wapo mbali ukilinganisha na nchi kama Tanzania, lakini bado wanashika mkia kwenye nafasi za juu za uongozi Serikalini, Sekta Binafsi, na kwenye taasisi muhimu kwenye nchi zao pamoja na juhudi kubwa za kuwapendelea.

Sisemi Wanawake hawana akili kama za Waanaume. lakini Wanawake wana mapungufu yao ya kijinsia yanayowafanya kushindwa kumudu nafasi za juu za Uongozi.
 
Kwanza wewe ni mpuuzi Sana na una dharau Kwa Wanawake..

Kwa Sasa kuanzia Sekondari Hadi vyuo Vikuu wadada ndio wanaingiza,Sasa umeona unazidiwa unakuja kutukana Wanawake huku.
You take things personal ona unaanza tukana watu hata hauwajui in real life.

What is wrong with you?!
 
Kwa mfano msikilize mbunge huyu hadi mwisho, Je anatoa suluhisho gani kwa hayo aliyozungumza.
Je suluhu anazorukia ni sahihi? Naaza kufikiria labda akina mama wawajibike kama zamani
Tatizo tukisema hapa wanaona kama watu ni wakoloni mara ooh mfumo dume. Ila uhalisia huko mtaani anayeangamia ni mtoto wa kike. Haya ngoja tukae kimya. Mtajua hamjui.
 
Wakati wengine wakiomboleza ,ujenzi wa njia 4 km 72 unaendelea ndani ya Jiji la Mbeya..

Uyole to Songwe Airport 36 km X 2 =72km
 
Kuna tofauti ya gender equality na gender equity. Affirmative actions ni kwa ajili ya gender equity. Kama wanawake wanapenda kazi fulani zaidi hiyo ni sawa, kama kabila fulani huwa wanapendelea kufanya kazi fulani zaidi hiyo ni sawa ilimradi tu hakuna vizuizi bandia vya kimfumo kuwazuia kufanya kazi nyingine pale baadhi yao katika jinsia au kabila fulani wanapotaka kuzifanya hizo kazi nyingine.
 
Uko sahihi upendeleo utaligharimu taifa. Viti maalum vinajaza vilaza bungeni huku upendeleo kwenye elimu unakosesha fursa watoto wa kiume wenye ufaulu bora kuliko watoto wa kiume.
 
Swali linakuja manufaa yepi na kwa jamii ipi?! So far ni hasara.
Ukiweza niambia hasara za upendeleo wa point mbili kwa kumnufaisha mtoto wa kike nitakwambia faida kumi kufanya hivo.
 
Hebu muulize wewe. Huyu unaweza kuta ni mtu wa TAMISEMI maana akili amepunyuka huyu.
Kwa kweli Elimu ya Tanzania kuanzia mfumo, sera, na utekelezaji wake viko mahututi na kuzinduka kwake kunahitaji jeki kubwa tena iliyotengezwa nje ya Nchi. Ni hatari kwa kweli.
 
C'mon, njoo team "Boy child" nitakupa siri za namna ya kumfanya mwanaume alie kitandani kama jambazi sugu akiombewa kwa mwamposa akawa anatoa ushuhuda.
Hebu ngoja niwe msoma comments..
Hii league humu si ya kitoto
 
Kwani sasa inatakiwa wanaume ndio wazae na kulea familia au unataka kusemaje mkuu?
Sicho nilichomaanisha na unajua hakiwezekani Biological, ila kijamii ni ukweli usiopingika wanaume wengi sasahivi walipaswa kulea watoto maana ile kazi yetu ya kuhudumia familia tumeisahau na tumewaachia kina mama.
 

Your argument is basically a non argument since gender equity is the means aka process of which the goal or outcome is to achieve gender equality. Get your English right next time.

My point was gender equality in Western countries and specially in Scandianvia is below what you’d expect despite decades of policies and social engineering efforts to redress the gender imbalance in those societies.

End of the day, men will be men, and women will be women.
 
Ndugu Yoda, hii justification yako haina mashiko kwasababu... Kwanza kielimu unazalisha wasomi wa aina gan kama utawapa mbeleko kisa hawakupewa priority kielimu?
 
Mkuu samahani lakini naomba ufafanuzi ni kivipi kumuelimisha mtoto wa kike unakuwa umeendeleza jamii nzima na sio Kwa mtoto wa kiume?!!
 
Mkuu samahani lakini naomba ufafanuzi ni kivipi kumuelimisha mtoto wa kike unakuwa umeendeleza jamii nzima na sio Kwa mtoto wa kiume?!!
Mkuu Habari,

Hoja ya kuelimisha mtoto wa kike ni kusaidia jamii nzima hasa ukizingatia wajibu wa kijamii waliowekewa watoto wa kike katika kuendeleza watoto anaowazaa.

Lakini zaid upatikanaji wa huduma bora nyumbani, malezi bora ya watoto na hatimae kuwa na watoto wenye uelewa angavu wa mambo katika maisha yao ya kila siku.

Kwa upande mwingine, historia imethibitisha kufeli sana kwa baba katika malezi, na hasa Africa ambapo hata baada ya kupata elimu na kipato, wazazi wengi wa kiume wana mchango mdogo katika malezi na makuzi ya watoto ukilinganisha na uwiano kwa mama zao.(Exceptions chache zipo)

Nadhani kwa kiasi hii itasaidia, kama una swali unaweza uliza.

Ahsante.
 

Ufafanuzi huu umeegemea zaidi kwenye suala la malezi ya familia,nnachojiuliza ni kuwa mbona katika jamii zetu wanawake ambao hawajasoma ndiyo huonekana walezi wazuri wa watoto na familia zao kuliko wale ambao hujiita wasomi?
Binafsi naungana na mtoa mada UKIMSOMESHA MTOTO WA KIKE UMEHARIBU JAMII,
Kuna utofauti mkubwa sana wa kimaadili kati ya mwanamke msomi na yule asiyeso msomi ingawa pia wapo wanawake wasomi ambao ni walezi wazuri wa familia zao!


Lengo la elimu yetu siyo kumfanya mwanamke atambue roles zake kama mwanamke katika jamii Bali ni kumfanya ajiamini na kujiona Yuko sawasawa na mwanaume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…