Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Jifunze kitu kinaitwa "systematic", matatizo wanayokabiliwa nayo watoto wa kike sio changamoto za kawaida tu ni "systematic problems" ambazo zinahitaji "systematic solutions". Zingatia sana hili neno "systematic"
Sasa hizo systematic solution ndio kuwakandamiza watoto wa kiume na kuwabania. Yaani mtu hakupewa nafasi ya kutrain kwaajiri ya marathon, unasema ili kumsaidia ni hawa wengine waliofanya mazoezi wakikimbia sana muwe mnawapiga mitama ili muwaslow down huyu mwingine awe anawapita ashinde sambamba nao.

Hivi hizi ni akili au matope?!

Yaani kumsaidia mtoto wa kike unamshushia grade ili miaka ya baadae ije kuwa proved kuwa wanawake wanauwezo mdogo hata wakipita shuleni.

Mtakuja leta huu ujinga hata jeshini taifa lije vamiwa na kushambuliwa sababu ya kuwa na watu incompetent.

Haya mambo ndio yalitokea kwenye jeshi la marekani walipokwenda iraq huko.

Walitengeneza team mseto za wanawake na wanaume. Kilichotokea huko uwanja wa vita wale team mates wa kiume wakareport next time hataki kuwa battle ground na askari wa kike.

Plus kuna tukio la binti fulani mwafrika aliyemalizwa kule kule sababu alishindwa kuvumilia kukaa kifuani na war crime yaani yale matukio ya askari jeshi kushambuliana na raia sasa demu akataka kuleta uana harakati kwa kubishana na chain of command maana walimwambia apotezee yeye akataka kukomaa alete zile stories huku kwenye social media. Kilichofuata ni ndugu zake walipokea mwili wake in a body bag na report inasema ni war casualties. Ndugu walienda fanyia mwili uchunguzi ukaonekana ulifanyiwa torture kabla ya kifo. Ila issue ilizimwa sababu ni military agenda.
 
Boy child anakandamizwa na Boy child wenzake sio kwa sababu wanawake wamepewa nafasi za kusoma. Mafisadi wengi karibia 90% wanaosababisha wanafunzi wa nchi hii wakose mazingira mazuri ya kusoma ni wanaume"boy child".
U can't be serious. Sisi hapa tunaolalamika ni girl child au unaleta dharau ?!
 
Hakuna mtu yeyote analazimishwa kuwa chochote na serikali. Serikali inachofanya ni kuondoa au kusahihisha vikiwazo vya kimfumo "systematic" kwa wale wanaotaka kuwa engineer, Doctor, au chochote. Nyie local Andrew Tates mna hoja zilizo mufilisi sana.
So kwa mfano ukitaka kusahihisha madhara ya ukoloni then ni waafrika wapewe power ya na kuanza kuwateka wazungu kuwageuza watumwa na kuanza kuyafanya mataifa ya magharibi kuwa makoloni?!

Yaani ili kurekebisha tatizo inatakiwa watoto wa kike wa saidiwe at the expense ya watoto wa kiume?

ARE YOU M*THER F*CK*N SERIOUS?!
 
Kwanza wewe ni mpuuzi Sana na una dharau Kwa Wanawake..

Kwa Sasa kuanzia Sekondari Hadi vyuo Vikuu wadada ndio wanaingiza,Sasa umeona unazidiwa unakuja kutukana Wanawake huku.
Usijibu hoja kisiasa, twende hoja kwa hoja. Ni hoja ipi sio sahihi kati ya hizo nilizodadavua hapo juu? Kama umetoka kapa, sema ufafanuliwe usijifanye mjuaji kwa jambo usilolijua.
 
Mambo haya yanakwenda sambamba na kuchochea ushoga na usagaji....Kuna mahali dunia inapelekwa ambako kunatisha zaidi......yetu macho.....
 
Kwa mfano msikilize mbunge huyu hadi mwisho, Je anatoa suluhisho gani kwa hayo aliyozungumza.
Je suluhu anazorukia ni sahihi? Naaza kufikiria labda akina mama wawajibike kama zamani

Mambo haya ndio tunakataa kabla hayajawa mabaya zaidi lakini kuna baadhi ya watu hapa wanakuja kuyashadadia. Hawa wabunge wanaoingia bungeni kwa upendeleo wa viti maalumu nao ni tatizo zaidi ya hawa wanaopendelewa katika elimu.
 
Mkuu sio systematic bali ni systemic ✅ . Naona hili jambo umelishupalia sana utadhani hiyo systemic problem ina affect Tanzania pekee hapa duniani. Mbona nchi nyingine zinazojitambua kama Kenya, Rwanda na Uganda hawafanyi ujinga huu? Kwanini ufanyike Tanzania tu au kwa kuwa nchi inaongozwa na mwanamke sasa imekuwa nongwa?
Kenya na Uganda wamekuwa na programu za upendeleo aka affirmative action programs kwa Wananfunzi wa Kike kwa miaka mingi. Do the google thing dude.
 
Walitengeneza team mseto za wanawake na wanaume. Kilichotokea huko uwanja wa vita wale team mates wa kiume wakareport next time hataki kuwa battle ground na askari wa kike.
Haya yote yanasababishwa na kubebwa kindezindezi, jambo linalopelekea watoto wa kike wazidi kuwa regerege kila idara watakayowekwa. Ni upuuzi mkubwa sana unaofanywa na serikali kuwabeba watoto wa kike kama magunia ya viazi.
 
Unaonekana unaongea kufurahisha jukwaa hapa ila data zako hazina uhalisia hata kidogo.
 
Afadhali umekuja mkuu Zemanda unisaidie kuwaelimisha hawa viumbe. Mwanzoni mtihani wa form II passmark ya kwenda form III ilikuwa marks 30. Baada ya wanafunzi wengi kuonekana wanafeli, serikali ikashusha marks hadi 21 lakini matokeo yakazidi kuwa mabaya. Ndipo wakashusha tena hadi marks 18 na bado wanafunzi wakaendelea wanafeli. Baadaye wakaona isiwe taabu.....waliofeli wote waendelee tu na masomo ya form III. Matokeo yake sasa wanafunzi hawajitumi tena kusoma kwa kuwa hawaogopi chochote......upass, ufell, unaenda form III. Hatimaye sasa mtihani wa FTNA hauna maana tena na watoto wamerelax hawasomi. Ndio maana utashangaa watoto wakienda sekondari wakiwa hawajui kusoma wala kuandika kwa sababu ya ujinga huu wa kulegeza mambo katika elimu kwa misingi ya kijinsia na kutafuta kiki za kisiasa.

Na kwa kuwa sasa wamezoea kubebwa tutegemee kupata digriii nyingi za chupi na hawo wanawake wakipatahizo digrii za chupa watakuja hapa mtaani kutusumbua na wengine wataenda kazini na ku-undeperform na hatimaye kushusha productivity. Na matokeo haya sharti yatamgusa kila raia, hata wale ambao wanashabikia upumbavu huu hii leo. It is just a matter of time. Namsubiri mkuu Mpwayungu Village aje atie neo hapa maana ana ujuzi mkubwa kwenye masuala ya elimu
Kwa mfano mwaka huu tu, matokeo ya form two yamevunja rekodi ya miaka yote kwa kuwa ya hovyo.
 
Toa upumbavu wako nani aliyesema ustawi ni sawa? Huo huo ustawi ukiokuwa unawakandamiza wanawake ndio wanapata Sasa hivi Hadi itimie 50/50 na Bado mtalia sana.
Sasa si unaona unavyopanic ni ishara kuwa upo easily triggered emotional of which ni indicator ya weak character. Possibly ulilelewa na mama yako tu au umelelewa na wazazi wawili ila baba yako ni very weak mbele ya mama yako.

Na hii imekufanya kuwa dhaifu kama individual. So i give you a pass while mourning for your character losses.

Am out.
 
Suala la walimu liondoe kabisa hapa, usilichanganye. Huo ni mjadala mwingine kabisa. Walimu walitakiwa wachaguliwe kutoka daraja la 1 na la 2 tu. Mwanaume iwe division 1, mwanamke iwe kuanzia division 2.
Sio mjadala mwingine, hapa mimi nataka tutumie same logic kwamba tunapofanya maamuzi ya kindezi kwa kulegeza masharti halafu tutegemee matokeo mazuri, how is that possible?

Hakuna cha mwanamke kuanzia division 2. Wote division au 1 and 2. Sio huyu anawekewa vigezo hivi halafu yule vigezo vile.

Halafu kada ya ualimu ikianza kufanya vibaya wakisema sababu ni walimu wanawake wanazingua utasema ni upotoshaji?!
 
Nikujulishe tu kuwa si tu kwamba nimefika University bali hadi nilipitiliza. Nashukuru kwa ufafanuzi nimekuelewa na hata mimi nimetia comment nyingine inayoendana na haya maelezo Yako. In short male gender is the privileged and special group in any society. Over.
Basi hakuna unachokielewa. The so called Privileged is actually underprivileged of the two. Umeamua tu kustate your theory in a way that will fit your agenda.
 
Jiteteeni wenyewe kama ambavyo sisi tunajitetea wenyewe
C'mon, njoo team "Boy child" nitakupa siri za namna ya kumfanya mwanaume alie kitandani kama jambazi sugu akiombewa kwa mwamposa akawa anatoa ushuhuda.
 
Na wewe una amini hakuna zero kweli, hivi unajua kuna watu. Wamekwenda form one hawajui kuandika na kusoma vema, kuhesabu shida lugha ya Malkia ndio zero kabisa. Umeshawahi jiuliza wamepitaje?!
Yes wametoa nyuchi waalimu wamemuandikia mtihani
 
Back
Top Bottom