Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Sasa hizo systematic solution ndio kuwakandamiza watoto wa kiume na kuwabania. Yaani mtu hakupewa nafasi ya kutrain kwaajiri ya marathon, unasema ili kumsaidia ni hawa wengine waliofanya mazoezi wakikimbia sana muwe mnawapiga mitama ili muwaslow down huyu mwingine awe anawapita ashinde sambamba nao.Jifunze kitu kinaitwa "systematic", matatizo wanayokabiliwa nayo watoto wa kike sio changamoto za kawaida tu ni "systematic problems" ambazo zinahitaji "systematic solutions". Zingatia sana hili neno "systematic"
Hivi hizi ni akili au matope?!
Yaani kumsaidia mtoto wa kike unamshushia grade ili miaka ya baadae ije kuwa proved kuwa wanawake wanauwezo mdogo hata wakipita shuleni.
Mtakuja leta huu ujinga hata jeshini taifa lije vamiwa na kushambuliwa sababu ya kuwa na watu incompetent.
Haya mambo ndio yalitokea kwenye jeshi la marekani walipokwenda iraq huko.
Walitengeneza team mseto za wanawake na wanaume. Kilichotokea huko uwanja wa vita wale team mates wa kiume wakareport next time hataki kuwa battle ground na askari wa kike.
Plus kuna tukio la binti fulani mwafrika aliyemalizwa kule kule sababu alishindwa kuvumilia kukaa kifuani na war crime yaani yale matukio ya askari jeshi kushambuliana na raia sasa demu akataka kuleta uana harakati kwa kubishana na chain of command maana walimwambia apotezee yeye akataka kukomaa alete zile stories huku kwenye social media. Kilichofuata ni ndugu zake walipokea mwili wake in a body bag na report inasema ni war casualties. Ndugu walienda fanyia mwili uchunguzi ukaonekana ulifanyiwa torture kabla ya kifo. Ila issue ilizimwa sababu ni military agenda.