Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Nchi zinaozongoza kwenye mambo ya gender equality kama za Scandinavia, Wanawake bado wapo nyuma karibia kila nyanja licha ya miaka mingi sana ya kuwainua.
Ni wazi kwamba Wanawake kwenye nchi hizi wapo mbali ukilinganisha na nchi kama Tanzania, lakini bado wanashika mkia kwenye nafasi za juu za uongozi Serikalini, Sekta Binafsi, na kwenye taasisi muhimu kwenye nchi zao pamoja na juhudi kubwa za kuwapendelea.
Sisemi Wanawake hawana akili kama za Waanaume. lakini Wanawake wana mapungufu yao ya kijinsia yanayowafanya kushindwa kumudu nafasi za juu za Uongozi.