Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

Hii nadharia unayosema ndio imetufikisha hapa leo watoto wa kike kupata mimba mapema na kuzidi kuharibikiwa.

Unajua kwamba kusema kumuendeleza mwanamke tafsiri yake ni kumtoa nyumbani na awe nje ya nyumba kwa zaidi ya masaa 12 ya siku. Yaani kutwa nzima. Umeona impact yake kwenye malezi ya watoto miaka hii?

Na je, serikali kama imeshindwa kuwapa ajira hawa wakiume waliopo je hao wa kike itaweza kuwapa ajira wote?!

Nadhani tunaishi kinadharia sana ila uhalisia wetu haupo sawa na hizi nadharia.

Tunahitaji familia imara. Watanzania kwa wingi wetu idadi kubwa ni masikini tupata tu hela za kubadili mboga na mavazi ila kiuhalisia ni masikini. Hata hawa wenye pesa je wanazipata kwa miradi au madili ya wizi wizi?

Nadhani tufike wakati tutambue tupo eneo gani kijamii na tunatakiwa kuishi kwa mfumo gani.

Eneo la familia hizi mbinu za Women empowerment hazishabihiani kabisa na mazingira yetu na ndio maana zinazalisha migogoro zaidi badala ya suluhisho. Jambo likiwa ni suluhisho huwa lina zaa matunda mazuri ila kama sio suluhisho litazaa tatizo kubwa zaidi. Kwa kifupi tunatibu maralia kwa kutumia Dawa za TB mwisho wa siku maralia haiponi na dawa za TB zinachosha mwili.
 
Kuna kikundi cha local Andrew Tates na clout chasers kimeibuka hivi karibuni mtandaoni hapa bongo kinasumbua sana na harakati uchwara za kujifanya kumtetea "boy child" ila ukiangalia hoja zao karibia zote ni fallacies tu.
So wewe unataka "Boy child" akandamizwe?!
 
Nilifikiri wewe una hoja uiweke hapa kumbe wewe ndiye buyu kabisa. Anyway, acheni mazoea ya kubebwabebwa kama mizigo. Jipambanie wenyewe
Achana nae huyo hana hoja naona kaja kuharibu uzi tu hapa.
 
Very true
 
Hapana tokea hizi zilianza majuzi tu hapa. Zamani mademu walikuwa wanakuwa kipanga darasani anakuwa kipanga kweli anawakimbiza hadi vidume mnasanda mnachuana nae kwenye top 10 yupo anakimbizia ile top 5 boys of all time.

Na hawa mabinti hata ukikutana nao sasa unawaona kabisa wapo very fit kichwani. Ila sasa hawa wasiku hizi wa kubebwa. Mpe mic hapo ajielezee vitu fulani fulani vya kawaida utaelewa.
 
Kabisa huwa yananibore sana mafala haya. Huwa nawatazama nawaona kama machoko tu.
 
So wewe unataka "Boy child" akandamizwe?!
Boy child anakandamizwa na Boy child wenzake sio kwa sababu wanawake wamepewa nafasi za kusoma. Mafisadi wengi karibia 90% wanaosababisha wanafunzi wa nchi hii wakose mazingira mazuri ya kusoma ni wanaume"boy child".
 
Huko wizarani watakuwa wamekaa wale masingle mother na wale wanaume suruali ambao wakishikwa shikwa mabega na wanawake wanasahau kila hoja wanakubali na kupitisha kila kitu. Halafu pale bungeni kuna spika yule Feminists na wale wazee wasiojitambua wanasema ndiooooooo lazima mambo ya kipumbavu yapitishwe.
 
Hiyo ya kufelisha ipo kwa jinsia zote
 
True master.
 
Umeanza kufuatilia bunge lini??
 
Kwani hizo kazi ulizotaja nani kawazuia watoto wa kike wasifanye?

Hivi kwa mfano ukimfaulishe mwanamke kimchongo siku akiwa daktari atapewa wagonjwa wake maalumu wa kutibu? Hamuoni mnahatarisha afya za raia kwa sababu za kipuuzi?
Au wakilazimisha mtu awe Engineer wa ndege vipi siku akiangusha ndege?
 
Sasa ulichopaswa kudai ni watoto wote wafuatiliwe na wapewe nafasi ya kufuatiliwa na kusikilizwa na serikali ili KILA MMOJA asiadiwe kulingana na anavyokamishwa na mazingira yake katika kusoma na kufikia ndoto zake
Sasa mbona serikali yako tukufu imechukua maamuzi ya kuwabeba wasichana kabla ya kufanya upembuzi yakinifu na wewe unashangilia? Naona sasa umeanza kujipinga wewe mwenyewe. Bado kidogo tu utanielewa.
 
Ni sahihi haiwezekani mtoto wa kiume apate mteremko anatakiwa apambane kwa bidii

Nafikiri hii itawakomaza akili kua wapambanaji zaidi

[emoji23][emoji23] kama hamtaki hamieni burundi
Wanawake katika mijadala ya kijamii inapokuwa swala linawafavour ninyi huwa mnaona ni utani utani kulijadili na mtaandika pumba zenu. Ila kama litawagandamiza hapa mngeshakaza chuchu na tako la kushoto kujadili kwa hasira.

Mfano ingekuwa ni serikali imetangaza kuanzia sasa watoto wakike hamna kwenda shule ungeandika huu ushubwada wako hapa. Ungekuwa karibu ningekula denda walahi.
 
Mkuu hapana, kwenye Udaktari ni tofaut kidogo na Hilo unalosema.

Hapa ni entrance points.... wakifika huko wanafundishika vizur tu.

Sababu za tofauti ya kaz kwa mwanaume na mwanamke ni za kimaumbile na kijamii zaidi.

Ahsante.
Wewe unasema nini wewe. Hivi mtu achaguliwe kindezi ndezi huku chini halafu aje kuwa na best performance huku juu inawezekana?!
 
Yaani ni hovyo kabisa aisee.
 
Sasa hapo Kwa hoja yako itakuwa unadahili wanafunzi kwa uwezo wao au kwa kuwaonea huruma. Na je nini matokeo ya kuwaonea huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…