ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Mkuu huu upendeleo upo muda mrefu na athari zake tumeshaanza kuziona katika mazingira na maeneo mbalimbali ya uwajibikaji.
Hivi sasa tuna graduates wengi wa kike ambao walipata upendeleo katika ufaulu kuanzia msingi hadi secondary na hatimaye wengi chuo waliishia kupata shahada zao baada ya kuhonga penzi kwa wahadhiri kwakuwa hawakuandaliwa kujipambania bila mbeleko.
Hao ndiyo sasa tunakutana nao kazini ambao hata kujenga hoja hawawezi na mambo mengi ya kiutawala yanawashinda kwakuwa wamefika hapo walipo kwa mbeleko.
Hii imepelekea wengi kuwa na hali ya kutojiamini na kuona wanadharaulika eti kwakuwa wao ni wanawake lakini kiuhalisia wanadharaulika baada ya kuonekana wengi kichwani ni weupe.
Na madhara haya yametapakaa katika kila idara na katika ngazi nyingi za kiutawala tumejikuta tunaongozwa na wasio na sifa.
Nadhani yatengenezwe mazingira kuwe na ushindani wa haki na kila mtu apate anachostahili kuliko kuongeza idadi ya wanawake wengi kwenye nafasi mbalimbali bila kujali ubora wa hao wanawake wanaopewa hizo nafasi.