Kwasababu wasichana wapo more vulnerable kuliko wanaume.
Msichana akipata elimu jamii nzima inaendelea.
Nitaeleza kidogo.
Kwa mfano, ikiwa watoto wote wawili wa kike na kiume wakaishia form 4, unadhan yupi ataathirika kwa haraka zaid kuliko mwingine? Hasa linapokuja suala la uzazi? Na hivyo kuongezea serikal mzigo wa kulea watoto mapema.
Lakini pia, kazi na ajira nyingi semi skilled zinambeba zaid mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ufundi, Udereva, Umachinga, Ubaharia, uvuvi, kufuga, kulima, misitu nkk
Nadhani uamuzi huo ni wa busara sana.