Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

Usiwe muoga wa kifo mkuu, dunia hii ilishachukua mabilioni ya watu, kufa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu

Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo
Utaugua nini wakienda wasiojitambua?? Na au utapungukiwa chochote?

Dawa isiyokuhusu kwa nini ununue?
 
Do you think forced idleness inahitaji siasa na sera zaid kuliko action?. Waache vijana wakasake yanayowezekana Leo na kesho. Hili la mabdiliko ya kweli kisiasa intkiwa liwe ngaz ya chama kwenye makaratas na maelezo, sio la Leo Wala kesho
Wrong.
Why do you accept "forced idleness" in the first place!

Kwanza hata sidhani kama unaelewa ulichochangia katika haya maneno machache kwenye hiyo mistari miwili. Ni wapi nilipochangia kueleza vijana wasiende kuwa vibarua, pamoja na kujua kuwa hilo halitakuwa suluhisho la kubadili hali zao na ndugu zao hapa nyumbani.

Halafu unaelezea mambo ya "siasa na sera kwenye makaratasi kuwa siyo mambo ya leo wala kesho. Wewe unataka yawe ya lini?
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo

Buenos Aires:

Wewe ni muislamu kushinda wanaokaa Gaza? Kumbuka vita imefanya Israel kusitisha ajira ya Wapelestina wanoingia kila siku Israel kufanya kazi hizo! Hata huko Gaza inalipa kufanya kazi Israel kuliko kushinda kutwa nzima Gaza pasipo ajira...

As at 7 October, an estimated 18,000-18,500 residents of the Gaza Strip held work permits issued by the Israeli authorities. These allowed them to work and live in Israel and Israeli settlements in the West Bank (ILO 27/10/2023; Gisha 24/10/2023; Reuters 03/11/2023). On 10 October, Israel’s Coordinator of Government Activities in the Territories (COGAT) revoked all work permits. This announcement was followed by mass arrests and detentions of Gazans working in Israel by Israeli authorities. The workers were detained in Israeli facilities in the West Bank (Gisha 24/10/2023; Al Jazeera 03/11/2023; AP 03/11/2023). Other Gazan workers fled from Israel to the West Bank after their permits were revoked.

SOURCE:

ACAPS Briefing note - Palestine/Israel: Spotlight on the situation of Gazan workers (10 November 2023)​

 
Wayahudi wakiongeza mshahara hadi $3000 na mimi nimo.
 
Hili jambo liko chini ya Bashe, Kwa Mama sidhani, ila ingekuwa Falme za kiarabu tayari ulishakwea pipa lkn uwe na sigida.
 
Upo tayari kuishi bila kula nguruwe?

Wayahudi nguruwe ni haramu kwao lakini ushoga ni halali.
 
Sasa wewe ni mwislamu na muoga wa kufa, huko unakokutarajia ufike unamashaka nako? Si kwa uwoga huo mkuu

Ukiwa unamashaka na uendako, Uje kwa Yesu, hatuna mashaka, ukifa katika Yesu, ni moja kwa moja kwa muumbaji wako mkuu
Mazayuni hawamtambui Yesu.
 
Mazayuni hawamtambui Yesu.

Dadangu Ustadhina Faiza......Kuna wengine hawamtambui Budha.....Wengine Branman....Vishnu....Shiva......Wengine hata Allah na Mtume wake Mohammed....Hivyo isikushangaze Mazayuni wasipomtambua Yesu......wao ni kama 15 Million wakati dunia ina watu kama 8 Billion...!!

Mambo ya imani hayajalishi nani anamtambua nani.....!
 
Rais ni Muhammadan anaogopa tunaqeza kwenda kutumika kaka jeshi la akiba dhidi ya HAMAS pale Gaza. Kwa kufanya kazi miaka 13 serikalini baada ya Kumaliza Degree na kutokuwa na maendeleo binafsi kama Serikali ya CCM iliyokaa madarakani miaka Tele huku tukiwa Maskini. Bora niende Israel tu. Jamani nipeni huo Mchongo nikafanye kazi za mashambani huko.

Hata nikiwa Askari wa akiba sawa nipo tayari maana nitafia katika nchi Takatifu kuliko kufia katika nchi inayoongozwa na mafisi ya kijani.
 
Kama ambavyo mimi simtambui mbakaji na mlawiti wa watoto Muddy(57) mme wa Bi. Aisha(9) na allah lile jiwe jeusi wanalolichunguliaga pale macca mungu wa kikuresh.
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda kumtumikia myahudi. Mtu anauwa watoto, wamama, wazee halafu bado utatamani kumtumikia! Aise labda wayahudi weusi, kwa muislamu anaejitambua hawezi fanya hivyo

Hamas anauwa nani Mkuu.....Hizo Roketi zinazorushwa zinauwa panya....?
 
Haya bwana mkifika huko muungane nao kuwasaidia vitani, ila Hamas wakifanya yao wasije ndugu zenu kulialia humu.

God bless Hamas
God bless Palestinian

According to Aljazeera....the figures of war causality today....! Really God is Blessing them! To me I find as a curse..! Allah is suppose to fight for them!

17,177 people

Air strikes in northern Gaza have flattened residential buildings. The Ministry of Health in Gaza has said that 17,177 people – including 7,112 children – have been killed and 46,000 wounded since the Israeli-Palestinian conflict started on October 7.20 hours ago

8 Dec 2023
Israel’s armed forces have intensified their bombardment of the Gaza Strip and carried out raids in the occupied West Bank as humanitarian aid efforts are near collapse.
The Israeli military hit Rafah in southern Gaza twice overnight, reports said, as United Nations officials warned there are no safe places left in the besieged territory.

The centre of Khan Younis, Gaza’s second-largest city, has also seen fighting amid Israel’s widening air and ground offensive in the southern part of the enclave where tens of thousands of Palestinians have no safe place to shelter. Air strikes in northern Gaza have flattened residential buildings.
The Ministry of Health in Gaza has said that 17,177 people – including 7,112 children – have been killed and 46,000 wounded since the Israeli-Palestinian conflict started on October 7.
 
Tatizo utakufa vipi? Ukifa ukiwa muislamu mwenye kufanya ibada hapo sawa. Ukifa nje ya uislam hapo ndio shida
Umelishwa imani ya Kiarabu kwa upanga ukashiba, ukaambiwa kule ni kibra, ukajibu sawasawa, hongera sana, in secret mind, wanatucheka sana.
 
TANZANIA, ni nchi yenye watu wenye upeo mkubwa sana


Mkuu, wewe ni miongoni mwa hao, Mungu akubariki sana, kwa ulivyojibu hoja hiyo dhaifu ya dada FaizaFoxy
umedhihirisha tunuku alizokupa Mungu
 
🗑️🗑️🗑️🗑️ Tanzania haifanyi biashara ya kuuza Manamba.
Usikute labda unachuki tu za kidini ndiyo maana

Hizo ajira, walikuwa wakifanya Waparestina, fahamu hilo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…