Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

Mkuu Kalamu:

Nakubalina na hoja yako kwa sehemu kubwa, tatizo uliloanishi si kwa Tanzania tu, bali nchi nyingi za Kiafrika....unajua umaskini wa Malawi? Unajua tatizo la ajira Kenya.....

Kwa kifupi umeuliza Israeli imetuzidi nini hasa....? Jibu ni akili.....

Hebu angalia statistics....

Israel's high technology sector is the linchpin to its economy. The high-tech sector has witnessed the highest and fastest growth among all industries in the past decade. In 2022, the high-tech sector accounted for 18.1% of Israel's GDP and for 48.3% of Israel's total exports.Nov 3, 2023
The economy of Israel is a highly developed free-market economy.[22][23][24][25][26] The prosperity of Israel's advanced economy allows the country to have a sophisticated welfare state, a powerful modern military said to possess a nuclear-weapons capability with a full nuclear triad, modern infrastructure rivaling many Western countries, and a high-technology sector competitively on par with Silicon Valley.[22] It has the second-largest number of startup companies in the world after the United States,[27][needs update] and the third-largest number of NASDAQ-listed companies after the U.S. and China.[28] American companies, such as Intel,[29] Microsoft,[30] and Apple,[31][32] built their first overseas research and development facilities in Israel. More than 400 high-tech multi-national corporations, such as IBM, Google, Hewlett-Packard, Cisco Systems, Facebook and Motorola have opened R&D centers throughout the country.[33]

Sasa Mkuu Kalamu unaweza kujilinganisha na watu kama hawa? Kwenda kuvuna maparachichi...kupewa nyumba na umeme bure unaweza kupata $ 1,500 kwa mwezi.....Linganisha na mtu aliyesaka ajira miaka mitano Tanzania bila kuambulia chochote......Hicho ndicho kinachosukuma watu Kenya na Malawi....Hata Ufilipino na Thailand.....Kama hali haitabadilika Tanzania....Viongozi wetu kutobasili mwelekeo, utaona vijana wakijazana kwenye ubalozi wa Israel.
Tupo pamoja sana, mkuu, 'kisamvu', sina tofauti kubwa na haya mawazo yako hapa, isipokuwa hilo la "AKILI". Hili kamwe sikubaliani nalo, na nafahamu hata wewe mwenyewe huwezi kukubaliana nalo.

Kwa uzito wa mchango huu ulio uweka hapa, sitapenda kuujadili kwa pupa. Nipe nafasi nitulie. Nitarudi kukusoma vizuri zaidi.

Mada za aina hii ndizo zinazotakiwa kuwafumbua akili viongozi wetu na hata sisi wenyewe ili tuamue ni wapi hasa tunakotaka kulielekeza taifa letu.
Katika nchi ulizo orodhesha hapo, umeisahau India, ambao wao kwa mwaka huingiza zaidi ya dollar za Marekani biliion 100 kwa mwaka toka kwa watu wake toka nje ya nchi. Hiyo siyo hela ndogo, lakini ni lazima tutofautishe, India haihangaiki na kufanya hii biashara kuwa ndio msingi wa maendeleo ya nchi hiyo.

Mkuu, 'Kasava' naomba usiondoke moja kwa moja katika mjadala huu, nimependa jinsi unavyowasilisha hoja zako.

Nitarudi panapo majaaliwa.
 
Hizi ajira zinazotangazwa na Wayahudi si za kupita hivi hivi

Miaka ya 80 huko, nakumbuka vijana wengi hasa maeneo ya Geita jinsi walivyokuwa wakitafuta dhahabu, ilikuwa ni hatari sana juu ya maisha yao

Ilikuwa haipiti siku mbili unasikia watu kadhaa wameangukiwa na kifusi wakiwa wanachimba dhahabu na kupoteza maisha yao!

Maisha ya nusu shari sisi tunayajua, ili mradi pesa ipatikane tu, siku zote unapokuwa kwenye harakati za kutafuta pesa, hasa hasa pesa nyingi, ni mhimu kutambua kuwa, mtu lazima ujiriski maisha yako

Hii mh Rais, chondechonde ridhia vijana tuingie chimbo huko kwa Wayahudi uone kama hatukurudi na kodi kwa ajili ya ncho yetu na maendeleo yetu
 
Nendeni mpelekwe Gaza kama jeshi la kukodi mkateketee halafu ndugu zenu waje humu kutufanyia fuji
Kufa ndani ya nchi takatifu utafananisha na kufa huku kajamba nani? serikali wapite tu na huku maofisini kuna watu tupo tayari kwenda kufanya na kazi za kitaalamu.
 
Kwan Israel Wana ubalozi Tanzania?
Blender...Upo

U.S. Embassy in Tanzania: Homepage​

1702622174228.png
U.S. Embassy in Tanzania (.gov)
https://tz.usembassy.gov

tanzania embassy in dar es salaam from tz.usembassy.gov
Embassy. Dar es Salaam. U.S. Embassy in Dar es Salaam map pin. Address: 686 Old Bagamoyo Road, Msasani P.O. Box 9123. Dar es Salaam, Tanzania For American ...
 
Tupo pamoja sana, mkuu, 'kisamvu', sina tofauti kubwa na haya mawazo yako hapa, isipokuwa hilo la "AKILI". Hili kamwe sikubaliani nalo, na nafahamu hata wewe mwenyewe huwezi kukubaliana nalo.

Kwa uzito wa mchango huu ulio uweka hapa, sitapenda kuujadili kwa pupa. Nipe nafasi nitulie. Nitarudi kukusoma vizuri zaidi.

Mada za aina hii ndizo zinazotakiwa kuwafumbua akili viongozi wetu na hata sisi wenyewe ili tuamue ni wapi hasa tunakotaka kulielekeza taifa letu.
Katika nchi ulizo orodhesha hapo, umeisahau India, ambao wao kwa mwaka huingiza zaidi ya dollar za Marekani biliion 100 kwa mwaka toka kwa watu wake toka nje ya nchi. Hiyo siyo hela ndogo, lakini ni lazima tutofautishe, India haihangaiki na kufanya hii biashara kuwa ndio msingi wa maendeleo ya nchi hiyo.

Mkuu, 'Kasava' naomba usiondoke moja kwa moja katika mjadala huu, nimependa jinsi unavyowasilisha hoja zako.

Nitarudi panapo majaaliwa.

Mkuu Kalamu:

Sijaondoka, ila naona mada kama hizi, zina ushabiki mno! Swala la ugomvi wa Israel versus Arabs si rahisi kama wengine wanavyodhani, lina historia nzito na ndefu, lina dini ndani yake, kuna Peace resolutions nyingi za watu wenye akili katika dunia hii, wamekaa na kushindwa kutatua, na kila upande nikiwa na maana Israel na Waarabu nao wana mitazamo ndani yao tofauti!

Wapelestina wenyewe, wao kwa wao pia wanatofautiana sana! Ndio Maana kuna vikundi mbali mbali ndani yao! Kila kikundi kina approach tofauti jinsi ya kutatua mgogoro huo. Na hata Waarabu pia, msimamo wao juu ya Wapelestina kwa nje unaonekana ni mmoja, lakini ni tofauti mno!

Hivyo kabla ya kuanza kutoa mawazo, ni vyema kukaa na kufanya utafiti angalau kidogo ili kutetea hola unayoitoa, kwa wengi wetu naona hatufanya hivyo.

Hivyo Mkuu Kalamu.....napita pita tu na nitaingia jamvini wakati muafaka.
 
Utaiharibu mada iwapo utaielekeza huko, kwa matatizo ya waPalestina na Israel. Hii ni mada nyingine tofauti kabisa na hii ya msingi iliyowekwa hapa.

Mimi ningependa tujadili hii ya msingi; kwa kufanya biashara ya manamba kwa vijana wetu, kokote kule duniani. Siipingi, kwa mtu anayeamua mwenyewe kwenda kujikabidhi kuwa manamba kwa hiari yake mwenyewe. Lakini kwa serikali kuifanya kuwa sera ya kuingiza pato?.... Hiyo ni sehemu muhimu ya ujinga walionao viongozi wetu.
Mimi nitakwambia kitu, iwapo serikali itakuwa na mkakati wa kuwapeleka vijana wetu waliohitimu maeneo mbalimbali katika vyuo vyetu kwenda huko nje kupata ujuzi na uzoefu wa kufanya mambo yetu hapa, mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa kuunga mkono sera hiyo; lakini siyo hii ya kwenda kuwa wapagazi, watumishi wa ndani na walea vizee wa huko. Hapana. Hii ni kuharibu nguvu kazi yetu wenyewe.
 
Nimekuelewa Mkuu, mimi ni muumini wa dunia maisha ni popote pale ambao unapata unachokitaka....Nimetembea kidogo ulimwenguni, Watanzania si watafutaji nje ya nchi....Naamini kuna sababu nyingi, ingawa kubwa ni kutokua risk taker.

Vijana wetu Israel hawakwenda kuajiriwa, ilikua ni Scholarships za masomo, ingawa kwa Israel ina ajira za ziada baada ya kusitisha Wapelestina, ambayo ilikuwa ni nguvu kazi kubwa kwenye ajira za kawaida, inawalipa kuliko kushibda Gaza hujui la kufanya! Mwajiri mkubwa anbakia UNRWA na mashirika mengine ya misaada, Israel ilikuwa ndio kimbilio, baniani mbaya, kiatu chake dawa!
 
Hapana, nadhani tunajadili mada mbili tofauti hapa.

Kuna mada iliyoanzishwa na kijana akimlilia Samia awaruhusu kwenda kuwa manamba kwenye mashamba. Hii ni baada ya watu toka Malawi na Kenya kusemekana wanakwenda huko kufanya kazi hiyo. Sina tatizo kabisa na hawa wanaojitafutia riziki wenyewe; na pengine nikiwaasa wanapokwenda huko wasiishie kupata hiyo hela wanayolipwa. Watakuwa wamepata fursa nzuri sana ya kujifunza wanachofanya waIsrael kuhusu kilimo chao.

Halafu kuna hili kundi la pili la vijana, ambao kwa bahati mbaya na kwa maskitiko makubwa tumewapoteza vijana wetu hawa. Hili kundi ndilo ningeomba serikali iliwekee mkazo sana. Ni mhimu ijihusishe kwenye hili ili vijana wetu wapate kuleta mageuzi katika kilimo chetu hapa nyumbani wanaporudi kutoka huko

Kuhusu swala la 'popote unapopatia riziki', hili ni swala muhimu na binafsi kabisa. Wengine wetu tunazunguka duniani, lakini nyumbani ni nyumbani pamoja na ubovu wa siasa zetu hivi sasa.
 
Nasemaje, hii nafasi bado wananchi tunaitaka!
1200 US dollar sio mchezo ati
 
Wenzetu wamalawi wamepewa ofa ya vijana 10,000! Sisi mbona sioni hizi hekaheka?

Najua mnajua kwamba, ajira hazipo, zinapotokea nafasi kama hizi, kazi yenu kuachia vijana waende kuzichanga!

Watu wetu wakiondokana na umasikini, ni nchi yetu imepiga hatua,
 
Back
Top Bottom