Mutateseka sana, sisi wananchi tunaimani na Samia mipango yake kwetu Inapimika, tumeona miradi mingo ikikamilika, miradi ya maji, scheme za umwagiliaji, vituo vya Afya, pembejeo za ruzuku, ruzuku za mbolea, kupandishwa madaraja watumishi, ongezeko la mishahara kila mwezi, ajira mpya zingali zinaendelea, utulivu wa kisiasa, amani imetawala, bei za mazao zinapanda kutokana na kufunguka kwa nchi yetu. Hatuoni sababu ya kumchukua, tupo nae Hadi 2030. Mjue Hilo, hata mpike majungu, tupo nae, na tutakuwa nae. Wewe ukitaka kajinyonge tu.