Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hiyo "sir" ni kwa ajili ya sister au single mother?Tunampenda rais wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo "sir" ni kwa ajili ya sister au single mother?Tunampenda rais wetu
Sasa kama hujui maana ya matumizi ya neno "Sir" tukusaidiaje wewe kilaza?Hiyo "sir" ni kwa ajili ya sister au single mother?
Umejibu swali au unakuna nazi?Sasa kama hujui maana ya matumizi ya neno "Sir" tukusaidiaje wewe kilaza?
Umejibu swali au unakuna nazi?
Sema nampenda. Usitujumlishe na wengineTunampenda rais wetu
Kakimbia.Akirudi nistue.Itakuwa kwa ajili ya single mother, we huoni mwandiko wake
Tunampenda acha makasiriko wewe.Sema nampenda. Usitujumlishe na wengine
Ni kweli wabongo hawana jema ila huyu wa sasa hafai kabisa.Wabongo labda uwaletee malaika awe rais wao .hakuna rais aliyependwa nchi na wote hayupo na hatakuwepo.
Mkiambiwa mlete ushahidi wa huo ufisadi hamuwezi kuketa cha ajabu miradi yote ya maendeleo na mazuri mengi aliyoyafanya ndani ya miaka yake miwili hamtaki hata kuzungumzia kama siyo chuki ni nini?Ni kweli wabongo hawana jema ila huyu wa sasa hafai kabisa.
Anafanya ya yule wa 2010-2015 ila huyu kazidisha kasi ya ufisadi
Hajali watu wa hali ya chini kabisa na ndio walio wengi.
Swali au pumba we umeona kuna swali hapo? Jifunze tofati ya maneno hayaUmejibu swali au unakuna nazi?
Kwa hiyo wewe ni mke wa Sir Robee?Swali au pumba we umeona kuna swali hapo? Jifunze tofati ya maneno haya
1. Sir
2.Single
3.Sr.
Tangu karithi madaraka kafanya nini?Mkiambiwa mlete ushahidi wa huo ufisadi hamuwezi kuketa cha ajabu miradi yote ya maendeleo na mazuri mengi aliyoyafanya ndani ya miaka yake miwili hamtaki hata kuzungumzia kama siyo chuki ni nini?
Hajafanya kitu hata kimojaTangu karithi madaraka kafanya nini?
Nijulishe mkuu
Ha ha ha haSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtetea huyu mazaWanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta!😄
Si anateua chawa wakeHajafanya kitu hata kimoja
Raia wamejichukulia sheria mkononiPaaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au
Ndugu Lucas nilishamuhaidi kumtandika makofi siku nikionana nae uso kwa usoHuyu mama kama unaweza pata connection zake nijulishe inbox nimtumie angalau laki aongezee kweny mtaji wake!! Nakala iende kwa Lucas mwashamba, natumai nae atakumbana na sekeseke kama lako mtoa mada!!
Mkiambiwa mlete ushahidi wa huo ufisadi hamuwezi kuketa cha ajabu miradi yote ya maend
Swali au pumba we umeona kuna swali hapo? Jifunze tofati ya maneno haya
1. Sir
2.Single
3.Sr.
eleo na mazuri mengi aliyoyafanya ndani ya miaka yake miwili hamtaki hata kuzungumzia kama siyo chuki ni nini?