Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta!😄
Nape asema 16% wa mitandaoni
 
Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.

Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.

" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.

Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.

" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."

Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.

Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.

Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.

Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.

Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Chawa watasema umetunga story, lakini ukweli hata huku Chitomoli your mother is not reachable!
 
Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta![emoji1]
Huna lolote
 
Wabongo labda uwaletee malaika awe rais wao .hakuna rais aliyependwa nchi na wote hayupo na hatakuwepo.
Mwamba we ulimchukia JPM na unampenda Samia, kwa hiyo we ni sawa na wanaomchukia Samia na kumkumbuka JPM kwa mazuri....usiwaone wanaomchukia Samia kuwa wabaya kwako.
 
Mwamba we ulimchukia JPM na unampenda Samia, kwa hiyo we ni sawa na wanaomchukia Samia na kumkumbuka JPM kwa mazuri....usiwaone wanaomchukia Samia kuwa wabaya kwako.
JPM sijamchukia kila kiongozi ana mazuri yake na mabaya yake hata samia kuna mambo siyakubali na ninamshauri .tafuta topic zangu utaona . Mimi siyo muumini wa mtu hata kama anafanya vibaya nimwangalie tu.
 
Nimesema hivo kwa sababu we mara zote huwa ukimzungumzia JPM ni kwa mabaya tu, halafu mtu akizungumza vibaya kuhusu Samia unaonekana wazi kabisa kwamba hupendi.
 
Nimesema hivo kwa sababu we mara zote huwa ukimzungumzia JPM ni kwa mabaya tu, halafu mtu akizungumza vibaya kuhusu Samia unaonekana wazi kabisa kwamba hupendi.
Utakua umenielewa vibaya nawapenda wote na JPM nimempigia kura mimi mara zote lakini penye mapungufu yake huwa nasema. Ila nikumlinganisha na samia mpaka sasa samia kamuacha mbali tu
 
Utakua umenielewa vibaya nawapenda wote na JPM nimempigia kura mimi mara zote lakini penye mapungufu yake huwa nasema. Ila nikumlinganisha na samia mpaka sasa samia kamuacha mbali tu
Naheshimu maoni yako ila ni ajabu sana kuona Samia amemuacha mbali JPM, ni ajabu sana sana.
 
Hao wamama wanakunywa chai kwao ili mwanaume asijiulize ulize, mtaa wa pili anakunywa supu kongoro na chapati tatu na peps, sokoni anafikia mapaja ya kuku rosti, hilo kofi huwezi kupona.

Mengine usikilize upite
 
Back
Top Bottom