Kesho kunani
Member
- Sep 10, 2023
- 72
- 191
- Thread starter
- #101
Ya maziwaChai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya maziwaChai
kiukweli maza hajui kinachoendelea huku ground,Kutetea mambo ya Serikali hii, sasa hivi, lazima uangalie mahali ulipo.
Wiki iliyopita nilikuwa naelekea Musoma. Nikasimama Lamadi kununua maji. Vijana watatu walikuwepo kwenye kiduka kidogo, wakipokezana kuongea. Mmoja akasema kuwa Samia ameuza mbuga zote za wanyama, hata hii ya Serengeti amekwishauza, kuingia itabidi upate kibali kwa Waarabu. Mimi niliona kuwa hayo maneno siyo ya kweli. Nilidhani muongeaji amechanganya majina, labda alitaka kusema Ngorongoro. Nikawaambia kuwa siyo mbuga zote, nadhani unamaanisha Ngorongoro. Wale vijana walikuja juu dhidi yangu na kuniambia kuwa nisijifanye najua sana, labda kama na mimi nashirikiana naye kuuza mbuga za wanyama.
Niliamua kuondoka kimya kimya maana walionekana dhahiri ni watu wenye hasira.
Ningeshangaa km ungeweza kuainisha hata kimoja alichofanya.Hajafanya kitu hata kimoja
Haya kimbia nenda kapimwe akili.Ningeshangaa km ungeweza kuainisha hata kimoja alichofanya.
Labda nikusaidie mafanikio ya kiongozi huyu
1: kuwaondoa kwa nguvu Wamasai ngorongoro.
2: Bandari hadi sasa kaamua kukaa kimya hili inamaanisha kilichoenda kwa mganga hakirudi.
3: kuchelewesha miradi ya kimkakati aliyoirithi bila sababu maalum.
4: kuongeza gharama za kuunganisha umeme.
5: TOZO
6: Mgao usio rasmi wa umeme.
Acha niishie hapo, ni mengi sana na mengiñe yanakuja
Ripoti za CAG zina mjumuisho wa ufisadi wa marehemu magufuli kumbuka wakati wa Magufuli zile ripoti zilikua sirikali. Kwanini uzembe wote wa magufuli aangushiwe samia?Unataka ushahidi upi zaidi ya ule uliopo kwenye ripoti ya CAG
Ishu Kuna ufisadi inabidi ufanyiwe kazi,haijalishi ulikuwa kipindi Cha magufuli au Sasa? Unataka kuniambia anauchekea kwakuwa ulifanywa wakati wa magufuli? La msingi ni kuchukua hatua.Ripoti za CAG zina mjumuisho wa ufisadi wa marehemu magufuli kumbuka wakati wa Magufuli zile ripoti zilikua sirikali. Kwanini uzembe wote wa magufuli aangushiwe samia?
Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Mbona Mimi ninazo ...na Nimesoma UDSM BSc with honours..au niweke na cheti kabisa?Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtetea huyu maza
Kulalamika ni kawaida. Hata ukienda Ulaya raia wanalalamika. Tofauti ni kuwa hapa kwetu malalamiko ni mengi na yangeweza kupungua lakini viongozi hawataki kufanya hivyo. Kuhusu rais Samia. Kwangu nadhani ni rais anayechukiwa kuliko watangulizi wake wote. Sijui kwanini lakini wanawake ndiyo wanaongoza kwa kumchukia mwanamke mwenzao.Taifa la walalamishi ova watoto wa kambo. Tangu mwalimu Nyerere, kisha Mwinyi, halafu Mkapa akaja Jakaya baadaye Magufuli na sasa Samia ni kulalamika tu kama watoto waliolelewa na bibi.
Na atakayekuja baada ya Samia atalalamikiwa tu kama kawaida. Tunaishi kwa mazoea mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua zinachukuliwa au hujasikia aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la arusha Dr.Pima na wenzake wamefungwa miaka ishirini jela mwezi uliopita? Au wewe unataka hatua gani?Ishu Kuna ufisadi inabidi ufanyiwe kazi,haijalishi ulikuwa kipindi Cha magufuli au Sasa? Unataka kuniambia anauchekea kwakuwa ulifanywa wakati wa magufuli? La msingi ni kuchukua hatua.
Halafu nyie hata wakati wa magufuli mlikuwa mnasifia tu,yaani hamueleweki na hamna msimamo
Umenifurahisha saana ila nextime usimtetee samia kwa wamama yaani hao ndo hawamtaki hata kumsikiaSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Nimekoma mkuuUmenifurahisha saana ila nextime usimtetee samia kwa wamama yaani hao ndo hawamtaki hata kumsikia
Mjinga wewe umeenda kukaririshwa umetoka na nini kichwani zaidi ya hicho cheti? wewe umemaliza chuo na siyo kuelimikaMbona Mimi ninazo ...na Nimesoma UDSM BSc with honours..au niweke na cheti kabisa?
Mama anaupiga mwingi
KabisaaaMjinga wewe umeenda kukaririshwa umetoka na nini kichwani zaidi ya hicho cheti? wewe umemaliza chuo na siyo kuelimika
🤣🤣🤣🤣Kwahiyo nipigweee tu🤣🤣🤣🤣🤣Naungana na wamama wa sokoni
Yaani ningekuwepo ningeongezaa,,,,haiwezekani unga wa ugali tununue 1800🤣🤣🤣🤣Kwahiyo nipigweee tu
Wewe mwerevu umefika wapi na ujanja wako?Mjinga wewe umeenda kukaririshwa umetoka na nini kichwani zaidi ya hicho cheti? wewe umemaliza chuo na siyo kuelimika