glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Pipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia tu yatazibuka,Ila kurudi kule usijaribu kabisaa,maana ukitundikwa jingine itakuwa kiziwi kabisaa,nilikuona Ila ikanibidi nijifiche.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia tu yatazibuka,Ila kurudi kule usijaribu kabisaa,maana ukitundikwa jingine itakuwa kiziwi kabisaa,nilikuona Ila ikanibidi nijifiche.
Na ndio tunamkosoa huyo Samia kama walivyokosolewa marais waliyotangulia.Nitajie rais ambaye hakukosolewa
Ndio uhuru wa maoni huo endeleeni kumkosoa.Na ndio tunamkosoa huyo Samia kama walivyokosolewa marais waliyotangulia.
Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta![emoji1]
Ongeza sukari hii haijakolea vizuri 😂😂Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Samia hana uchungu na Tanganyika.
Una
Una ugonjwa wa akili sio bure
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali. [emoji23]Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Katiba inakuja, na bado nyinyi watetezi wa wale jamaa wa ACACIA mtalamba nyasi.
Kutetea mambo ya Serikali hii, sasa hivi, lazima uangalie mahali ulipo.
Wiki iliyopita nilikuwa naelekea Musoma. Nikasimama Lamadi kununua maji. Vijana watatu walikuwepo kwenye kiduka kidogo, wakipokezana kuongea. Mmoja akasema kuwa Samia ameuza mbuga zote za wanyama, hata hii ya Serengeti amekwishauza, kuingia itabidi upate kibali kwa Waarabu. Mimi niliona kuwa hayo maneno siyo ya kweli. Nilidhani muongeaji amechanganya majina, labda alitaka kusema Ngorongoro. Nikawaambia kuwa siyo mbuga zote, nadhani unamaanisha Ngorongoro. Wale vijana walikuja juu dhidi yangu na kuniambia kuwa nisijifanye najua sana, labda kama na mimi nashirikiana naye kuuza mbuga za wanyama.
Niliamua kuondoka kimya kimya maana walionekana dhahiri ni watu wenye hasira.
Hawana hoja bro, ila tunatakiwa kupambana nao humu humu, wanajiona wao wasomi, ila kiukweli msomi mzuri huwa hana majivuno na anajiona bado hajasoma, ukiona mtu anajiona msomi, huyo yupo kwenye hatua ya kwanza kielimu, Wala hatua ya pili hajafika, kuiendea Ile ya tatu ambayo ndio usomi wenyewe.Wanataka tumpe urais mtu anaewatetea hao mabeberu na kutetea haki za ushoga
Wamesahau huyo alifanya mpk ndege ya tz ikazuiliwa
Yaani hawajui adui yao nani wao kila mtu akipinga serikali wanampa support
Cheap politics...Samia anafaa sana mpaka 2030Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Naona wa chama chakavu mmeamua kuvamia threadCheap politics...Samia anafaa sana mpaka 2030
Cheap politics...Samia anafaa sana mpaka 2030
Hakutumia nguvu sana kama anavyolimaga pale Matimila.Angekudunda hadi ushindwe hata kuandika.Tukutane La Chaz!🤔Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Nipo hapa la chaz nafakamia supu ya mbuzi na chapati, njoooHakutumia nguvu sana kama anavyolimaga pale Matimila.Angekudunda hadi ushindwe hata kuandika.Tukutane La Chaz!🤔
Nakuja Ila acha kutembezea macho hao wasichana.Umezeeka sasa.🤔Nipo hapa la chaz nafakamia supu ya mbuzi na chapati, njooo
Tunampenda rais wetuAnakufaaa wewe na familia yako