Kesho kunani
Member
- Sep 10, 2023
- 72
- 191
- Thread starter
-
- #41
Ahsante Sana mkuu kwa kumuelewesha huyu jamaaKwa taarifa hii sio chit chat!, ni namna ya utunzi wa kisanii kuonesha ni jinsi gani huyu mama hakubaliki na watu wa tabaka la chini. Kwa wwnye upeo tumeelewa! Sasa kama unadhani ni chit chat utabaki kusubiri sana threads za siasa!
Wewe sio bure,tbc haipatikaniKatiba inakuja, na bado nyinyi watetezi wa wale jamaa wa ACACIA mtalamba nyasi.
Mkuu ww ndio yule ulikuwa unabishana na yule mma mrefu kavaa yale makofia mapana?Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
sngea sehm gn upo kijana, ukarbie krista park apa upate dinnerSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.

Ww sema ukweli waliobaki wanamtetea SAMIA ni wale viongozi aliowateua tu,wengine ni wale ambao humsifu mtu kwa kuangalia dini yake lkn nao ni wachache sana kwa hali tulivyonavyo kwa sasa.Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta!😄
🤣🤣🤣Kutetea mambo ya Serikali hii, sasa hivi, lazima uangalie mahali ulipo.
Wiki iliyopita nilikuwa naelekea Musoma. Nikasimama Lamadi kununua maji. Vijana watatu walikuwepo kwenye kiduka kidogo, wakipokezana kuongea. Mmoja akasema kuwa Samia ameuza mbuga zote za wanyama, hata hii ya Serengeti amekwishauza, kuingia itabidi upate kibali kwa Waarabu. Mimi niliona kuwa hayo maneno siyo ya kweli. Nilidhani muongeaji amechanganya majina, labda alitaka kusema Ngorongoro. Nikawaambia kuwa siyo mbuga zote, nadhani unamaanisha Ngorongoro. Wale vijana walikuja juu dhidi yangu na kuniambia kuwa nisijifanye najua sana, labda kama na mimi nashirikiana naye kuuza mbuga za wanyama.
Niliamua kuondoka kimya kimya maana walionekana dhahiri ni watu wenye hasira.
Watu wamechafukwa usilete mchezo 🤣Kutetea mambo ya Serikali hii, sasa hivi, lazima uangalie mahali ulipo.
Wiki iliyopita nilikuwa naelekea Musoma. Nikasimama Lamadi kununua maji. Vijana watatu walikuwepo kwenye kiduka kidogo, wakipokezana kuongea. Mmoja akasema kuwa Samia ameuza mbuga zote za wanyama, hata hii ya Serengeti amekwishauza, kuingia itabidi upate kibali kwa Waarabu. Mimi niliona kuwa hayo maneno siyo ya kweli. Nilidhani muongeaji amechanganya majina, labda alitaka kusema Ngorongoro. Nikawaambia kuwa siyo mbuga zote, nadhani unamaanisha Ngorongoro. Wale vijana walikuja juu dhidi yangu na kuniambia kuwa nisijifanye najua sana, labda kama na mimi nashirikiana naye kuuza mbuga za wanyama.
Niliamua kuondoka kimya kimya maana walionekana dhahiri ni watu wenye hasira.
Alikosea angekuzaba ukofi wa mdomo ili ushindwe kula kabisa
Shuka majengo kisiwani uje uchukue muamala wakoSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Nishasepa pande hizo. Nipo cottage msamala kwasasaShuka majengo kisiwani uje uchukue muamala wako
Hilo ongezeko la mishahara kila mwezi watumishi gani wanapewa?Hawa hawa ambao ni njaa kali ambao madai yao ya malimbikizo ya mishahara hayajalipwa kwa zaidi ya miaka 7 licha ya kuambiwa yamehakikiwa!Waliolipwa ni wachache hasa waliokuwa wanadai vilaki kadhaa ila wanaodai milioni na kuendelea majina yao yanarukwa.Upambe wenu hausaidii serikali kutatua changamoto za watumishi wetu hasa wa kada za chini ambao ni manesi maveo na walimu wanaofundishia watoto wetuMutateseka sana, sisi wananchi tunaimani na Samia mipango yake kwetu Inapimika, tumeona miradi mingo ikikamilika, miradi ya maji, scheme za umwagiliaji, vituo vya Afya, pembejeo za ruzuku, ruzuku za mbolea, kupandishwa madaraja watumishi, ongezeko la mishahara kila mwezi, ajira mpya zingali zinaendelea, utulivu wa kisiasa, amani imetawala, bei za mazao zinapanda kutokana na kufunguka kwa nchi yetu. Hatuoni sababu ya kumchukua, tupo nae Hadi 2030. Mjue Hilo, hata mpike majungu, tupo nae, na tutakuwa nae. Wewe ukitaka kajinyonge tu.
Ujitoe fahamu kama FaizaFoxyAah huyu mama kumtetea yatakiwa ujitoe ufahamu haswaaa!! Hasafishiki🤣🤣🤣
Kutetea mambo ya Serikali hii, sasa hivi, lazima uangalie mahali ulipo.
Wiki iliyopita nilikuwa naelekea Musoma. Nikasimama Lamadi kununua maji. Vijana watatu walikuwepo kwenye kiduka kidogo, wakipokezana kuongea. Mmoja akasema kuwa Samia ameuza mbuga zote za wanyama, hata hii ya Serengeti amekwishauza, kuingia itabidi upate kibali kwa Waarabu. Mimi niliona kuwa hayo maneno siyo ya kweli. Nilidhani muongeaji amechanganya majina, labda alitaka kusema Ngorongoro. Nikawaambia kuwa siyo mbuga zote, nadhani unamaanisha Ngorongoro. Wale vijana walikuja juu dhidi yangu na kuniambia kuwa nisijifanye najua sana, labda kama na mimi nashirikiana naye kuuza mbuga za wanyama.
Niliamua kuondoka kimya kimya maana walionekana dhahiri ni watu wenye hasira.
Hahahahahahahaaaaa!Mtatunga kila aina ya uongo samia anakanyaga mwendo ndundo. Chuki pelekeni chato huko
Kuna vijana wengi sana, MACHAWA, pia wanamtetea. Hawa machawa wako kwenye payroll na wanashiriki kuuza nchi.Wanaomtetea sa100 ni watumishi wa serikali wachache sana, na viongozi wa kuteuliwa. Hata kwenye makundi ya whatsapp, wanaomtetea wengi wao ni viongozi au wanaotegemea kupata teuzi (chawa)
Pole sana kwa yaliyokukuta![emoji1]
Whatever it takes but itamsaidiaHata ukimwongezea hiyo laki wanunuzi wapo wapi?
Kila mtu mchovu!!
Hayo hayotoki Kwa huyo mama wa sokoni ni kauli yako ulitaka Tu kuiwakilisha Kwa njia hiyo,aliewapa kazi sio wazanzibar ni watanzania kwamujibu WA katiba,wakati Magufuli anateua WA kwake na chato kupeleka hadi uwanja WA ndege kapeleka hamkusema kitu ovyo kwabisaSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.
Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia.
" Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na kazi za maana zote anawapa wazanzibar.. huyu mwanamke hatujali kabisaaa.. na tusipokuwa makini atauza kila kitu.." aliongea mama aliyekuwa ananiuzia nyanya.
Licha ya kutokubaliana na Samia kwa Mambo mengi lakini kauli hii sikuiona Kama sahihi,hivyo Bila kusita nilianza kumtetea.
" Haipo hivyo Mama zangu.. unajua Samia anania nzuri ila......."
Paaaaaa...Kabla sijamaliza kuongea nilipigwa konde la ajabu Sana, mpaka Sasa sielewi Kama yule mama alinipiga na mkono wake au alitumia tofali.
Muda huu nipo home,japo masikio Hadi Sasa hayasikii vizuriii kutokana na lile konde.
Upande mmoja wa nafsi unaniambia nikakichafue ,lakini kila nikikumbuka lile konde miguu inakosa nguvu kabisaaa.
Samia umeniponza, Kama upo humu na unasoma hili mtume chawa wako afanye muamala chap nikatulize haya maumivu la chaz.
Kesho kunani
Kwasasa songea,majengo mnadani.
Chawa upo kwa wakunyumbaSamia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga.