Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na sgr walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga

Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo

Prof mbarawa na feleshi mkubali mmekosea swala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme

Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi

Rais Samia Kanyaga twende
Mama anaupiga mwingi, hakuna haja ya ku-renew maendeleo ni muhimu mtapata ajira na kuneemeka mtoke na ushamba wa kupenda maisha ya watu, Tanganyika itakuwa dubai 2
 
Rais anayeuza nchi kwa waarabu hawezi kuwa na uhalali wa kuitwa kiongozi
Vuta subira utapata neema, mama anaupiga mwingi sana, mlikuwa mnaiba sana bandarini kila ripoti ijayo mnaishi maisha mazuri kwa matabaka sasa mama amepata mbadala, mama anastahili kupongezwa JK alishindwa, Magu ndo kabisa alifikiria zaidi kujenga Airpot chato
 
shida sio mkataba shida huo mkataba ni milele
Kwani milele inakuuma nini? sasaiv unafaidika nini, bora ule halafu uliwe, mlisema waarabu wataleta udini Zanzibar sasa mnawasogeza kitandani kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa, mtapata ajira na kutoka ushamba magorofa marefu na miundo mbinu ya kisasa yatajendwa bandri ya dar es salaam na kitovu cha biashara, Mama anajiamini
 
Raisi na wasaidizi wake hawawezi kamwee kutuingiza kwenye shimo .
Mbowe na wafuasi wake wame erro kwenye hili.
Taifa hili si la Mazuzu kama Mnavyotulazimisha kuamini.
Mimi si CCM lakini namkubali mama na Delegation yake , wanfanya vyema sana kwenye kuijenga TZ
 
Tuendelee kumuombea Mama Samia
 
Kwani milele inakuuma nini? sasaiv unafaidika nini, bora ule halafu uliwe, mlisema waarabu wataleta udini Zanzibar sasa mnawasogeza kitandani kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa, mtapata ajira na kutoka ushamba magorofa marefu na miundo mbinu ya kisasa yatajendwa bandri ya dar es salaam na kitovu cha biashara,
unaongea na simu au ?
 
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga

Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo

Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea suala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme

Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi

Rais Samia Kanyaga twende
Hakuna kurudi nyuma
 
Na mimi naomba nichukua fursa hii kumlaumu Rais Samia kwa kitendo chake cha kuendelea kusikiliza sauti za vyura badala ya kuendelea kujinywea na kuwanywesha watanzania maji safi ya DP WORLD!
 
Back
Top Bottom