Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hasira zao hazitasaidia kitu, kwani serikali yetu imeshaamua kile inachoona ni sahihi kukifanya bila kusikiliza kelele wachumia tumbo wa nchini na nje ya nchi.Wakenya wana hasira sana kwa kweli na maendeleo ya Tanzania
Mama anaupiga mwingi, hakuna haja ya ku-renew maendeleo ni muhimu mtapata ajira na kuneemeka mtoke na ushamba wa kupenda maisha ya watu, Tanganyika itakuwa dubai 2Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na sgr walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga
Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo
Prof mbarawa na feleshi mkubali mmekosea swala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme
Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi
Rais Samia Kanyaga twende
Vuta subira utapata neema, mama anaupiga mwingi sana, mlikuwa mnaiba sana bandarini kila ripoti ijayo mnaishi maisha mazuri kwa matabaka sasa mama amepata mbadala, mama anastahili kupongezwa JK alishindwa, Magu ndo kabisa alifikiria zaidi kujenga Airpot chatoRais anayeuza nchi kwa waarabu hawezi kuwa na uhalali wa kuitwa kiongozi
Kwani milele inakuuma nini? sasaiv unafaidika nini, bora ule halafu uliwe, mlisema waarabu wataleta udini Zanzibar sasa mnawasogeza kitandani kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa, mtapata ajira na kutoka ushamba magorofa marefu na miundo mbinu ya kisasa yatajendwa bandri ya dar es salaam na kitovu cha biashara, Mama anajiaminishida sio mkataba shida huo mkataba ni milele
Ndo maana tunasisitiza kuwa raisi Samia aendelee kuwanyoosha kisawa sawa bila kujali kelele za wanasiasa uchwara.Sisi tunahakikisha tunapata maendeleo kupitia bandari zetu
Hata kama wewe una akili zaidi,shida sio mkataba shida huo mkataba ni milele
Mkataba wa milele umeandikwa kwenye kipengele kipi? Tuwekee hapaKama kwenye awamu yenu mmeshindwa kuendesha bandari kwa nini muashumu kwamba vizazi vyote hawataweza kwa kusaini mkataba wa milele?
Gari halina breki hili, kanyaga, ongeza mwendo, mafuta hayaishi, upepo utasaidia, kanyaga mama, kanyaga twende na wasemao ni mvua ndogo ndogo tu wala hazisumbui mwendo.Kanyaga twende mama
Tuendelee kumuombea Mama SamiaRaisi na wasaidizi wake hawawezi kamwee kutuingiza kwenye shimo .
Mbowe na wafuasi wake wame erro kwenye hili.
Taifa hili si la Mazuzu kama Mnavyotulazimisha kuamini.
Mimi si CCM lakini namkubali mama na Delegation yake , wanfanya vyema sana kwenye kuijenga TZ
unaongea na simu au ?Kwani milele inakuuma nini? sasaiv unafaidika nini, bora ule halafu uliwe, mlisema waarabu wataleta udini Zanzibar sasa mnawasogeza kitandani kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa, mtapata ajira na kutoka ushamba magorofa marefu na miundo mbinu ya kisasa yatajendwa bandri ya dar es salaam na kitovu cha biashara,
Hakuna kurudi nyumaWatanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga
Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo
Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea suala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme
Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi
Rais Samia Kanyaga twende
huna point kaa pembeniKama kwenye awamu yenu mmeshindwa kuendesha bandari kwa nini muashumu kwamba vizazi vyote hawataweza kwa kusaini mkataba wa milele?
Na mimi naomba nichukua fursa hii kumlaumu Rais Samia kwa kitendo chake cha kuendelea kusikiliza sauti za vyura badala ya kuendelea kujinywea na kuwanywesha watanzania maji safi ya DP WORLD!Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga
Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo
Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea suala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme
Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi
Rais Samia Kanyaga twende
Naww kauze masaburi yakoRais anayeuza nchi kwa waarabu hawezi kuwa na uhalali wa kuitwa kiongozi