Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Wewe ni mpumbavu
 
kwa mala ya kwanza leo nimekuzarau
gentleman,
daima sina muda wala kamwe siwezi kubabaika na mihemko, ghadhabu, dhihaka au matusi ya mtu awaye yote.

Be Free kuyaporomosha ukiwiwa.
But ukweli unabaki kua ndiyo uelekeo wangu bila mbambamba ya mtu yeyote πŸ’
 
Acha ufala 😏
 
Acha ufala 😏
yaani ungependelea kunitoa kwenye ukweli na kunijumuisha kwenye mihemko mtumishi?

Yaani kabisa nitoke kwenye ulimwengu wa Nuru unipeleke ulimwengu wa Giza, really mtumishi?πŸ’
 
Ni kweli kabisa gentleman

Naamini hata mwanaye Abdul angekuwa yuko chini ya kifusi hapo kwenye janga, bado mama wetu shujaa angeendelea na ratiba yake..... kwa maslahi mapana ya nchi yetu

Mitano tena kwa mama... Atake asitake.
 
Mleta maada kumbe mara moja moja akili huwa zinakurudia

Leo akili zako zote ziko timamu
 
Rais ni taasisi.
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo kazini na mpaka sasa kazi kubwa ya uokoaji imefanyika.
karibu 99% ya wanga walio kuwa wamekwama tayari wamesha okolewa.
 
Kosa la Serikali ni Kushindwa Kusimamia mipango miji
 
kwenda tu kuongezea taifa madeni!
 
Hili ni tatizo kubwa lakini team Lumumba wao wanaona sawa tu. MamaSamia2025 ChoiceVariable
 
Ni kweli kabisa gentleman

Naamini hata mwanaye Abdul angekuwa yuko chini ya kifusi hapo kwenye janga, bado mama wetu shujaa angeendelea na ratiba yake..... kwa maslahi mapana ya nchi yetu

Mitano tena kwa mama... Atake asitake.
hapa hakuna habari ya sijui nani angekua gentleman!

na by the way, angekua ni kiungo cha ubishi.

Licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kijamii, kiuchmi na kisiasa, ni Lazima maslahi ya Taifa yachungwe Kitaifa na kimataifa.

Hakuna sababu hata moja ya kufanya nchi isisonge mbele.

Leo nitatangulia mimi mbele za haki na kesho ukafuata wewe kwa mapenzi ya Mungu Maisha ya wengine waliobaki hayasimami, Lazima yaendelee bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…