Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.[emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
Yaani mjenge nyumba chini ya viwango, halafu rais asifanye majukumu yake?
Sasa wewe kwanini usiende kusaidia kuwaokoa?
Unate
Jamani tuache utani unamteteaje Mfariji mkuu wa nchi,kwa kuwaacha raia wake wakichungulia kifo,nakwenda mahala ambapo wasaidizi wake wangeweza kumwakilisha vyema.Sasa wewe kwanini usiende kusaidia kuwaokoa?
Unategemea mama Samia ndiyo akawaokoe?
🖕Huna akili ww subiri KIPYENGA Cha uchaguzi kipulizwe ndo utajua hujui.
Ukifuatilia sana bajeti ya serikali utaona kabisa kwamba imejikita kwenye usalama na hadhi ya viongozi (state security) BADALA ya HUMAN SECURITY!Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Nakumbuka aliyekuwa Rais wa Nigeria Babangida, kuna janga lilitokea akiwa ndiyo kwanza ameanza ziara hapa Tanzania, alikatiza ziara, na kurudi kwao mara moja! Viongozi wengi tunawaona wakifanya hivyo, wakithibitisha kuwa wao ni WAFARIJI wa watu wake! Bado utasikia 'MAMA, MAMA, MAMA'!Huo mwaliko ni mkubwa sana hawezi kuacha kwenda lakini nchi ina viongozi wengine amnao wanafanya kazi nzuri mno hadi sasa
Huyu bibi ahambuliki!Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Nashukuru nimekutana nawe mama yangu😊😊😊Maneno yako yanaashiria umezaliwa kwenye tumbo la changudoa
Kabla ya kunijibu ulipaswa kumfahamu kuwa:-Hapana,huwezi kujua maana hata wazanzibari pia wapo kariakoo,hajaja kuchuma ndivyo nchi ilivyo bro,viongozi wetu hutoka pande 2 za muungano
Rusuku na utaifa wapi na wapi?Mbona mnapokea ruzuku za miaka ya nyuma hamsemi mnachuma, acheni Lugha za ubaguzi Mnatia aibu sana
Majungu wametokea Mheshimiwa akiwa tayari kwenye ndege akikaribia kutua huko alikoenda, ulitaka amwambie rubani ageuze ndege irudi bongo?.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Zanzibar ina watu milioni moja sawa na wilaya ya kinondoni hapa Dar, wewe unawashwa nini utoke huku bara uende kugombea udiwani huko visiwani wakati umeacha ardhi ya hekari laki tisa?.Rusuku na utaifa wapi na wapi?
Samia siyo raia wa Tanganyika, ni mzanzibari. Kwani hujui hili?
Kaja bara kuchuma. Inakuuma hii?
Wewe na komwe lako ukienda Zanzibar:-
1. Huruhusiwi kugombea hata ujumbe wa serikali ya Kijiji.
2. Huruhusiwi kumiliki ardhi hata miguu miwili.
3. Huruhusiwi kufanya kazi hata ya ufagizi.
Huo siyo ubaguzi, tena uliohalalishwa kikatiba kabisa??
Mkuu nchi hii haina rais; inaj8endesha yenyeweNinaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya