Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kumbe wewe ni moja wao wa wale majamaa wa kuhitimisha hoja kwa kuyaporomosha yale mazito mazito kwa mpangilio eee, alaaaa 🤣Kaka mm ni mgeni ila nnaiman matusi hayaruhusiw acha nijikaze ila akili zako haziko timam, wapi ametoa nguvu za kusafir ndugu yangu Hali iliyokua pale siyo nzuri hata kidog labda unaona Kwa nje ila mule ndani ni pagumu hatar watu wanateseka kiasi HADI tuliokua tunatoa msaada Jana tumejikuta wengine tukilia achana na wanaohitaj msaada huwezi kuwasaidia Baki na wanaokufa unawaona wengine wakikwambia na kuomba uwaambie ndugu zao vitu ni vingi HADI kwasisi wenye umri mdogo tunaweweseka ila naamini kama ungekua ndani mule usengeandika huu upumbavu dah
najua utakua unayapiromosha kimoyo moyo dah!
Kama taifa,
hakuna kitu kinaweza kusimama kwa sababu yoyote ile. Muhimu majukumu yamegawanywa, maelekezo ya Rais yanatekelezwa kikamilifu na mamlaka husika na matumaini ni makubwa...
Hata hivyo,
Hata rais angelikuwako ni muujiza gani ingefanyika? Jengo lingeyeyuka au lingepaa..
Tuwe wangwana ndrugu zangu,
Tuwaombee subra wale wote walionasa kwenye vifusi, na wanao endelea na kazi ya uokoaji Mungu awajalie bidii na maarifa zaidi 🐒