Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelensky mara ya mwisho umemuona lini kuvaa suti??Yaani wasaidizi wake viongozi wakuu na vyombo vyote vya Dola vipo eneo la tukio, havitoshi mpaka na Raisi awepo?
Huoni hii fursa adhimu kuwepo katika huo mkutano wa G20 na inaweza kuwa na manufaa ya muda mrefu kama tutaitumia vizuri?
Huoni hata Zelensky Huwa anakwenda fasta akialikwa licha ya kwamba Nchi yake Iko vitani?
kivip person attack gentleman?Personal attacks hizo acha ushamba wewe!! Unajuaje kama anadaiwa au ana jamaa zake wamenaswa chini ya kifusi kiufupi mfariji mkuu ilibidi abaki badala ya kwenda Copacabana ⛱ kula raha
Anyway Kufa ni kufa tulimuelewa
Mwakinyo amechukuwa millioni kumi za mama, amempig mtu TKO leo alfajiri.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Mama ana uoiga mwingi.Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Kamanda Abduli angekuwa chini ya kifusi Muda huu eneo la tukio mbona kuko flat na watu wore wako nje wakipatiwa Huduma ya Kwanza.Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kamati tena. Ipi ulisikia imeleta majibu walau moja tu itajeRelax tu gentleman, na unisamehe sana plz,
wacha tumalizane kwanza na uokozi wa wangwana waliokwama kwenye vifusi,
na bila shaka yoyote tukio hili litakua ni funzo na fursa muhimu zaidi ya mwanzo katika kua makini zaidi katika ujenzi na hasa majengo chipukizi chini ya majengo mazito, makubwa na marefu.
I hope,
Itakapoundwa kamati ya uchunguzi itakuja na mapendekezo muhimu zaidi. Kwasasa ni mapema sana kuhitimisha hili 🐒
Kuna dada pembeni kamjibu kwa hasira na uchungu " ni mbaya"Ficha Ujinga Wako Mbele ya WATU, Kukaa kimiya nayo ni Busara, Sio Kila Post Lazima Uchangie
Maneno yako yanaashiria umezaliwa kwenye tumbo la changudoaIla nyie haters wa mama Samia mna kazi aisee, poleni sana. Si ajabu wengi wenu ni wachawi au mnatoka familia za wachawi.....hili Nina uhakika nalo kabisa.
kivip person attack gentleman?
Yaani kueleweshana na kuelezana ukweli imekua anasa gentleman?
Faraja ipi zaidi ya ile ya Rais kuagiza kuagiza na kuamrisha kamati ya maafa chini ya waziri mkuu na vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha wako eneo la tukio na nyenzo zote, usiku na mchana kuhakikisha wanafanya kazi ya uokozi kwa bidii na weledi kunusuru walionasa kwenye vifusi?
kama muungwana ana madeni au jamaa ambao ni wa hanga, pole zake sana lakini pia pole kwa Rais na waTanzania wote.
Mungu amjalie moyo wa subra
kwa mala ya kwanza leo nimekuzarauGentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kaka mm ni mgeni ila nnaiman matusi hayaruhusiw acha nijikaze ila akili zako haziko timam, wapi ametoa nguvu za kusafir ndugu yangu Hali iliyokua pale siyo nzuri hata kidog labda unaona Kwa nje ila mule ndani ni pagumu hatar watu wanateseka kiasi HADI tuliokua tunatoa msaada Jana tumejikuta wengine tukilia achana na wanaohitaj msaada huwezi kuwasaidia Baki na wanaokufa unawaona wengine wakikwambia na kuomba uwaambie ndugu zao vitu ni vingi HADI kwasisi wenye umri mdogo tunaweweseka ila naamini kama ungekua ndani mule usengeandika huu upumbavu dahGentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
she is really crazy and soo stupid[emoji34],im sorry to say this.
tumeshuhudia marais wanastopisha ziara za nnje na kurudi haraka nchini kwao kutia moyo na kuwapa faraja wananchi wao, sababu wanamuangalia yeye na serikali yake. but this old woman?? noooo kwake ni bora safari,wananchi mtajua wenyewe[emoji57].
imagine, tena,ni kaliakoo, soko linaloingiza mapato mengi ya nchi, but noooo bora akale raha. hadi uko wanamuona hajielewi.
Samia 2025 no!