Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

Hakuna kitu utamfanya
 
Umejibu vizuri ila ni kweli kabisa huyu mama yetu huwa hana roho ya kujali kabisa na huwa hana muitikio mzuri kwenye majanga ya watanganyika hilo linafahamika.
Na sidhani kama kasogea hata eneo la tukio.
 
anataka aione serikali yote kko yaan shughuli nyingine zote zisimame
 
Ni sawa na upate msiba mlangoni mwako alafu wewe unachukua jembe unaenda kulima...is it possible!
 
Yapo majiru kama Lucas Mwashambwa post yako hatachangia kitu. Marais wengi huahirisha safari kama hizo inapotokea dharura kama hii. Huyu tuliye naye siyo!!!
 
Hata Mimi nilishangaa sana anaposema amemwagiza waziri mkuu hivi na hivi. WTF ..... Alitakiwa awe front yeye... Kwanza huko ameenda nani kamtuma????
Bro/Sissy, Fanya kazi kupambana na njaa Yako iliyokuganda, hilo litakuepushia chuki kwa watu zisizo na ulazima
 
Bro/Sissy, Fanya kazi kupambana na njaa Yako iliyokuganda, hilo litakuepushia chuki kwa watu zisizo na ulazima
Chuki kwa watu Gani. Tunaongelea kuhusu mkuu wa nchi hapa, Amiri Jeshi mkuu, mfariji mkuu wa nchi.
Huyu mtu ni public property na Nina haki ya kumuongelea vyovyote nitakavyo.
Anatakiwa awe mstari wa mbele na afariji watu.
Hebu taja faida Tano za hiyo safari yake kwa watanzania........... Tano TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…