Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

kumbe wewe ni moja wao wa wale majamaa wa kuhitimisha hoja kwa kuyaporomosha yale mazito mazito kwa mpangilio eee, alaaaa 🤣

najua utakua unayapiromosha kimoyo moyo dah!

Kama taifa,
hakuna kitu kinaweza kusimama kwa sababu yoyote ile. Muhimu majukumu yamegawanywa, maelekezo ya Rais yanatekelezwa kikamilifu na mamlaka husika na matumaini ni makubwa...

Hata hivyo,
Hata rais angelikuwako ni muujiza gani ingefanyika? Jengo lingeyeyuka au lingepaa..

Tuwe wangwana ndrugu zangu,
Tuwaombee subra wale wote walionasa kwenye vifusi, na wanao endelea na kazi ya uokoaji Mungu awajalie bidii na maarifa zaidi 🐒
 
mxiyuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] pumbavu wewe
 
We ni upinde...
 
Huyo hatukumchagua kwenye Sanduku la kura,hivyo Si lazima awajibike kwetu.
 
Nchi ni taasisi, kuna siku utataka Samia aje kijijini kwako aendeshe vikao vya serikali ya kijiji, au akusanye kodi za kijiji
 
Hajawahi kufika rio de janeiro ata ungekua wewe ungetumia fursa
 
Ni sawa na upate msiba mlangoni mwako alafu wewe unachukua jembe unaenda kulima...is it possible!
brother suala limetokea dk za mwisho tupo maandaliz ya safar.kumbuka pia kule kuna ratiba za watu na pia mkuu wa mkoa katumwa fasta pale na kamat ya maafa chin ya prime ipo pale.jeshi lipo pale na kila mechanism ipo pale. tusilaum sana tupo kwwnye majonz
 
Yeye kama dalali mkuu anawahi kwenye mnada maana watapishana na gari la mshahara. Hawana time na wananchi Wao ndio maana nawaita madalali
 
Lucas Mwashambwa Una la kusema na hii serikali yako
 
Kwanini kwenye msiba wa Mafuru amefika ? Si angetuma wawakilishi?

Wananchi wamemchagua yeye si mkuu wa mkoa wala waziri...

Hata kama asingefika, haileti picha nzuri unasafiri wananchi wana majanga.. Kuna ile kuonyesha utu na kuheshimu wananchi..
 
Mwache aende labda ndio ya mwisho mwisho kusafiri kama mkuu wa inchi............maana unaweza kuta asije kwenda tena kama raia namba moja labda aende kama abiria wengine tu
 
Samia big No
 
"Kifo ni kifo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…