Ha ha haa..nimeongeza siku za kuishiSafi sana mama anarudisha uhusiano wa kinataifa ulio potea. Pia hao CCM wanaenda kunifunza jinsi chama kikuu kilivyopoteza madaraka hii ni good move.
Alafu hao wati wote watalipwa per diem kwahiyo mzunguko wa fedha utaongezeka mtaani
Umeongeza mahabharata na tozo zimepanda equals to zero! CCM inacheza na akili zenu tu kama kawa!Magufuli alituumiza sana Watumishi wa umma! Hilo halito sahaulika kamwe kwenye akili yangu!
Miaka sita ya bila promotioni kwa kisingizio cha kununua ndege, ilituvuruga sana watumishi wa umma.
By the way, ccm ni ile ile! Hivyo hakuna jipya! Maendeleo ya kweli yatapatikana mara tu ccm itakapotoka madarakani.
Uzuri hizi tozo zinakamua mpaka wanyonge wa magufuli. Na siyo watumishi wa umma pekee.Umeongeza mahabharata na tozo zimepanda equals to zero! CCM inacheza na akili zenu tu kama kawa!
Indeed![emoji134]Samia is an empty suit…
I'm jus thinking!Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
View attachment 1905055
Kwani msafara wa rais kwa kawaida unatakiwa uwe na watu wangapi kwa safari za nje?Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Watawala wa tza ni kama wapangaji wa nyumba matatizo ya wananchi sio vipaumbele vyao
Hahahahaha . . . Nacheka MimiYaani kusema ukweli huyu mwanamke ni hasara kabisa.
Ameshakuwa hasara tenaYaani kusema ukweli huyu mwanamke ni hasara kabisa.
Dah...hii inanikumbusha Magufuli alivyokuwa akisafiri mikoani na V8 zaidi ya 50 barabarani zikitafuna wese la kufa mtu kupitia kodi na tozo zetu.Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.