Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Ime
Safi sana mama anarudisha uhusiano wa kinataifa ulio potea. Pia hao CCM wanaenda kunifunza jinsi chama kikuu kilivyopoteza madaraka hii ni good move.
Alafu hao wati wote watalipwa per diem kwahiyo mzunguko wa fedha utaongezeka mtaani
Ha ha haa..nimeongeza siku za kuishi
 
Magufuli alituumiza sana Watumishi wa umma! Hilo halito sahaulika kamwe kwenye akili yangu!
Miaka sita ya bila promotioni kwa kisingizio cha kununua ndege, ilituvuruga sana watumishi wa umma.

By the way, ccm ni ile ile! Hivyo hakuna jipya! Maendeleo ya kweli yatapatikana mara tu ccm itakapotoka madarakani.
Umeongeza mahabharata na tozo zimepanda equals to zero! CCM inacheza na akili zenu tu kama kawa!
 
Hizi mada za kitoto za enzi za ujima ikiwa msanii diamond anaenda tour ulaya na madensa wake ana mudu gharama iweje nh rais ashindwe
 
20210824_101438100307.jpg
Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Hakainde Hichilema.

Unasafiri na kundi kubwa bado huridhiki unataka tena kusindikizwa na kundi kubwa airport. Hii sio sawa.

Huu muda wa kushonana Airport kumsindikiza Rais si wangebaki ofisini kutatua changamoto za nchi? Kwani rais akizindikizwa na familia na vyombo vya usalama pekee atapungukiwa nini.
 
Ona huo msururu jamani. Halafu mzigo unakuja kurudi kwa watanzania kulipa kodi lukuki.
Dah...hii inanikumbusha Magufuli alivyokuwa akisafiri mikoani na V8 zaidi ya 50 barabarani zikitafuna wese la kufa mtu kupitia kodi na tozo zetu.

Nchi hii kwa sasa inahitaji "divine intervention" nyengine - na tunakoelekea inaonyesha itakuja soon!
 
Back
Top Bottom