Ngoja tutoe tozo tuchangie nauli za misafara, HAMNA NAMNA!View attachment 1905882
Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Hakainde Hichilema...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuwa na wew Rais ukasindikizwe na mkeo pekee, mwacheni afanye anavyojisikia japo kwa sasa simpendi
Imperial president, Mungu MtuView attachment 1905882
Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Hakainde Hichilema...
bora hata jakaya alikuwa anarudi na chandarua. huyu anaenda rwanda kupiga picha karakana ya magari halafu anarudi. urais wa kuokota hasara tupu.Samia ni Jakaya wa Kike
Yule hafai hata kidgo, bora huyu mara zote kuliko yule dubwana
Wameshaiunga na nyingine, wameona ni utopolo umewekawewe kina kuwasha nini. anzisha forum yako kama inakuuma
Hakuna haja ya kunitukana, haya utamfanya nini sasa? Hata akisema watanzania wote tumsindikize utafanya nini kwa mfano. Ccm ni ukoo wa panya, siku ukilijua hili hutaumiza roho yako wala kutukana watuAfanye anavyojisikia? hovyo kabisa wewe