Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

Ametukazia Kwenye Tozo Mbalimbali
Huku Yeye Akijiliwaza Na Watu Wake!!!
Siku Hizi Dodoma Hapataki Kabisa Yaani Dar Es Salaam

Walio Dodoma Mtajibeba
 
Hongera

sana mama wa Taifa kwa kujali majirani zetu uwe na safari njema na uchape kazi ikiwezekana ukae huko huko kama mwaka mmoja au miwili umsaidie kiongozi huyo mpya Raisi wa Zambia mbinu za uongozi,sisi tutavumilia tu hadi hapo utakaporudi..sawa!
 
Afanye anavyojisikia? hovyo kabisa wewe
Hakuna haja ya kunitukana, haya utamfanya nini sasa? Hata akisema watanzania wote tumsindikize utafanya nini kwa mfano. Ccm ni ukoo wa panya, siku ukilijua hili hutaumiza roho yako wala kutukana watu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom