Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Sarcastic ✍️
 
Sawa kabisa, hakutumia glasi aliyo munywesha Nyusi lakini waswahili kama kawaida yao badala ya kufuatilia/chunguza kwa umakini kwa kile kilicho fanyika pale - wanatuletea stori za kutunga/buni tu.
Asingewza kubadilishiwa glasi halafu ishu ikabaki hivihivi. Ingeonekana labda alikuwa na nia ya kumdhuru rais wa Msumbiji.

Hajabadili glasi bali alienda kugonga cheers!
 
Hivi nyie mnaotoka mapovu mtasema nini Rais wetu akienda nchi ambayo wanasalimiana kwa kubusiana mashavu au mikono? Au, astaghafilula, mtu akamkumbatia!

Amandla...
Kubusiana siyo siyo sawa na kushare glass moja watu msiofahamiana. Huo utamaduni haujawahi kufanywa na rais yeyote Tangu mwalimu, sisi tumeliona jambo hili sasa!

Kama hili jambo ni la kawaida naomba incident yoyote katika dhifa ya viongozi inayofanana na hii.
 
Alienda kubadilisha glass akapewa nyingine ndo akanywa .
Weka ushahidi wa video clip!! Hii iliyowekwa inaonesha ameendelea kunywa kwenye glass hiyo hiyo aliyomnywesha mwenzake. Ushauri: Tuheshimu uhuru wa watu na hisia za watu - Tujifanye kama hatujaona vile, hiyo ndiyo heshima!!
 
Shida ni mama watakuwa walimpa agua do papa!
Hiyo kitu ni kama kvant iliyochangamka mara 3
 
Wamisheni kila jumapili tunashare glass na watu tusiowafahamu. Na wengine ni viongozi. Mnajitahidi sana kugeuza kichuguu kiwe mlima.
Na kwa vile mimi na wewe hatujawahi kuhudhuria dhifa za viongozi wote duniani swali lako sio la msingi.

Ninachotaka kukijua ni sheria ipi hapa Tanzania inayomkataza mtu yeyote kushare glass na asiyemfahamu?

Ukweli ni kuwa ingekuwa Rais wetu ni mwanaume na a share glass na Rais mwenzake wa kike mngemsifia sana.

Amandla...
 

Wamissionary wametufikia, namuona Harmonizer (in Magu’s voice) hapo hana chakufanya [emoji23][emoji23]
 

Nani kasema video fake shangazi? Nimesema ku-highlight haya mambo ni udhalilishaji.
 
Mila za Watanzania zinapatikana wapi!? Mdigo na Mluguru Wana Mila sawa!?? Makabila 132 yana Mila sawa!!?? Hakuna Mila ya Mtanzania .....
 
Hapo mwishoni kapewa nyingine... Mtoa post udini unakutesa sana. Kwani rais wa Bakwata huyo?
 
Mwacheni mama yetu a ‘flirt’. Upweke mbaya sana wajameni. Ikulu ya Dom na Dar kubwa kuliko vibanda vyetu. Watoto wa mama wamekuwa, sasa mnataka asi….
Kama
Siyo roho mbaya na nongwa kwetu ni nini?!😇👌🏿🤙🏿🇹🇿🤘🏿😎🤪😜
 
1.) KORONA BADO IPO HATA ASKARI NYUMAYAO WAMEVAA BARAKOA, INAKUAJE KUGUSANISHA MATE NAMTU KIPINDI HIKI CHAHATARI??
2) Hii kitu kiprotokali hairuhusiwi hatakama unaonesha ukaribu mlionao lkn si kumnywesha rais wawatu kinywaji.
3.) Kwamila zetu Afrika mambo hayo hufanyiwa mzee baba au mtoto tuu sasa hapo imekaaje?
 

Wewe huwa unaabudu mizimu gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…