Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

awezekana mama alimnywesha kama sumu basi wadondoke wote [emoji16]
Hapo Kuna vitu naviona kwanza usalama, pili undugu na kuheshimiana pia kujishusha lakini pia ukimtazama kwa umakini raisi Samia jinsi alivyo muangalia nyusi BAADA ya kum nywesha juice uta gundua huyu mama nikichwa Sana
 
Back
Top Bottom