Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Inawezekana haikuwa juice bali ni whisky, ule uchangamfu sio wa kawaida
 
We jamaa tutolee upuuzi wako hapa poyoyo wa ajabu kabisa,
Hivi unajisikiaje unapoandika mashairi yako ya kipumbavu hapa
 
Nawaza tu huyo jamaa angekataa pale ingekuwaje๐Ÿค”
 
Kichwa cha habari chajieleza wasalaamu ndugu wanabodi wanoko, wenye busara, wajuvi bila kuwasahau na wale lolote sawa

Kwa wenye utaalamu wa masuala ya kidiplomasia, itifaki na usalama waniambie, katika hali isiyozoeleka rais wa JMT mama Samia ameonekana kwa bashaha akimywesha juisi rais mwenzake kutoka Msumbiji huku akisindikiza na maneno kadhaa ya utani ambayo hayajatambulika vyema mpaka sasa.

Ndugu zangu ningependa kufahamishwa je hilo tukio lina maana gani?

Karibu
Your browser is not able to display this video.
 
Uyu mama amenishangaza hata Mimi kwakweli maana Kuna mda alikua amevaa barakoa Sasa najiuliza kama ameweza kushea glasi na huyu mheshimiwa alivaa ya Nini au amemchanganyia koktail Ili amsainishe mkataba maana delilia ni Delila tuu at akiwa presdaa
 
Ishara ya uoendo na ushirikiano baina ya nchi mbili marafiki na ndugu wa kihistoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ