Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa

Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama hataki hata kumgeuza hamgeuzi

Ngoja afike nyumbani sasa,ni ugali wa kulumangia na kachumbari au dagaa wa kukaanga.

Matokeo yake sasa,kupata msichana wa futi 5'8'' ni mtihani kwelikweli

Unakuta msichana mzuri lakini futi tano hajafika ,hapo yupo chuo,ukimuona kwa mbali utasema ni katoto ka shule ya msingi.utapiamlo huo.

Nilikuwa iringa shambani mabinti vibarua wengi ni futi nne na point lakini wote wana watoto mgongoni,utapiamlo huo.

Wazazi siku hizi wanajitahidi kuzaa mabinti waremho ila wana utapiamlo .

Nitafutie msichana wa futi sita mtaani kwako nikupe milioni moja.

Huku mkongo,huku mbilikimo
Mama ulikuwa sahihi ila ulisahau udumavu wa mabintu wetu

Wamedumaa sana
 
Duh! Lakini hawa SEEDCO wengine ndo tunawapenda, japokua kisirani chao sio cha nchi hii.
Nisamehewe bure kama nakosea lakin kwenye ubongo wangu hua naamini kabsa Beesmom ni ndizi sukari a.k.a fupi nene.🏃‍♀🏃🏾‍♀️
 
Ni Kweli 5.5 but not fatter
Ewaaaa... perfect! Subiri nianze kua nakupa hi mara kwa maara ndani na nje ya jukwaa!
Hicho ndo kimo cha kike. Hakuna kitu kitam kama unakumbatia mwanamke af kichwa chake kinalala kifuani kwako, sasa uoate mnazi, wewe mwanaume ndo unabaki hukooo chini
 
Acha kuwatetea wadumavu ahaa
 
🤣na kichwa ulivyokitoa nje ya gari ukipona kugongwa uokoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…