Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa

Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama hataki hata kumgeuza hamgeuzi

Ngoja afike nyumbani sasa,ni ugali wa kulumangia na kachumbari au dagaa wa kukaanga.

Matokeo yake sasa,kupata msichana wa futi 5'8'' ni mtihani kwelikweli

Unakuta msichana mzuri lakini futi tano hajafika ,hapo yupo chuo,ukimuona kwa mbali utasema ni katoto ka shule ya msingi.utapiamlo huo.

Nilikuwa iringa shambani mabinti vibarua wengi ni futi nne na point lakini wote wana watoto mgongoni,utapiamlo huo.

Wazazi siku hizi wanajitahidi kuzaa mabinti waremho ila wana utapiamlo .

Nitafutie msichana wa futi sita mtaani kwako nikupe milioni moja.

Huku mkongo,huku mbilikimo
Mama ulikuwa sahihi ila ulisahau udumavu wa mabintu wetu

Wamedumaa sana
Stunting ni tatizo linaloanzia toka mimba mkuu
 
Back
Top Bottom