Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Hapo ndipo hata mimi nashangaa.
 
Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.

Maoni yangu;

Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Naichukulia positive. Watanzanania tunahitaji change ya mindset kwa kuwa nyakati za Ku graduate na kusubiri placement ya Serikali hazipo.

Ni bora unapowapa watu kidonge kichungu wanywe lakini wapone ugonjwa.
 
Aliyeshiba hajui Kama Kuna watu wanalala njaa,

Wale makapuku wenzangu tulijitahidi kutafuta riziki kwa kujiajili lakini mambo yamekuwa magumu haswa

Mwisho wa siku tutazikimbia familia

Mpango wa serikali ni kuongeza jobless mtaani sidhan Kama wanatutakia mema
 
Kwanza wewe hapo unalima hekari ngapi kwa mwaka?Mama ameongea na vijana ambao hata robo hekari hawezi lima.Sasa kijana huyu hata ukimpatia trekta na pembejeo bure,bado kwake anaamini kilimo ni kwa masikini na wasiofika vyuo vikuu.
Atapata Kazi kwenye gari ya mizigo au abiria
 
Ondoweni Vikwazo wajiajiri sasa.Au Kazi za kwenye ujasiliamali wa kwenye karatasi.
Ye mwenyewe anao mpango wa kuendelea kuajiriwa 2025 hizo fursa ajaziona
 
Tafuta Kazi,unaishije bila Kazi? Au unadhani Kazi ni za kwenda ofisini na kusubiria salary mwisho wa mwez?

sasa kwa mamtiki hii huyo bibi yenu anadhani nani hana kazi!!!

labda watoto wake[emoji16][emoji23][emoji16]

kila mtu ana kazi,ila isiyo ya kuvaa tai.
 
We vp?Ukishakuwa Spika tu basi unaingia kwenye Hilo kundi Moja Kwa Moja!Au umesahau Lowassa alivyojiuzulu lakini Mpaka Leo anavuta mpunga wa Serikali ?

atajulia wapi huyu anadhani ndugai anaenda likizo moja kila mwaka kama yeye[emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…