Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Hahahah kufa kupo tu tunafundishwa"Unatakiwa umuombe Mungu uongelewe vizuri baada ya kufa"
Co ha maiblid ambao walishiriki kuumiza binadamu wenzao na mmoja yupo jahannam nw huyu mwngne anaweweseka tu hana la kufanya
Kufa ni kufa tu, yani kama njinsi ambavyo mbwa hufa na kuoza ndivyo jinsi binadamu anakufa, tofauti ya binadamu na mbwa ni heshima ya mazishi tu.

Ni nani aliyewahi kuongelewa vibaya na watu wote? HΓ’ta Oussama kuna watu wanamuongelea vizuri.
 
Kama unataka kulipwa zaidi ya laki 1, lete huduma ambazo watu wanazihitaji watakulipa au vumbua kitu ambacho kinakidhi mahitaji ya watu ukiuze utalipwa. Nenda kaandike app utajirike, nenda kavumbue dawa utajirike, nenda katunge wazo la biashara utafute wawekezaji wakupe hela. Nenda kaingie kwenye riadha na kacheze mpira utajirike. Lakini kama huwezi, usidharau kazi za laki 1. Wengi wanaofanya hizo kazi hapa mjini, wanatuma hela kusaidia familia zao vijijini.
 
Hii haina tofauti na alivyosema Wamachinga na Mama mboga waondolewe taratibu, na sasa anaamini wote wapo mahali salama wanaendelea na shughuli zao na wanapata riziki zao.
 
Wao wanaolipana posho laki 3 kwa siku wameleta ubunifu gani kuona kuwa wanastahili kulipana laki 3 kwa siku?

Mkuu usiongee usiyoyajua kwa laki 1 hutoboi labda uwe na biashara ya kuuza kete za bangi kimya kimyaπŸ˜…
 
Wao wanaolipana posho laki 3 kwa siku wameleta ubunifu gani kuona kuwa wanastahili kulipana laki 3 kwa siku?

Mkuu usiongee usiyoyajua kwa laki 1 hutoboi labda uwe na mke mchakarikaji
Haya fanya kampeni wapunguziwe hizo posho. Lakini wewe bado utabaki huna kazi kama kazi za laki 1 unaziponda.
 
Haya fanya kampeni wapunguziwe hizo posho. Lakini wewe bado utabaki huna kazi kama kazi za laki 1 unaziponda.
Ni aheri nijue na hustle tu ila sio kwenda sehemu inayoitwa kazini kwa ujira wa laki 1
 
Hao ni Wangapi?.

Leo anzisha site mahali anza kuweka Material uone Watu watakavyokusanyika hapo, Wakike na wa Kiume wanataka kazi.

Haya mambo yenu mnaongea kwa kudhania tu au kuchukua sample ya kundi dogo haimsaidii yeyote.
 
Ni aheri nijue na hustle tu ila sio kwenda sehemu inayoitwa kazini kwa ujira wa laki 1
Haya kila la heri na hustle yako. Ila kama unalala njaa kisa hutaki kazi la laki 1 nitakuona kama kama mpumbavu. Something is better than nothing.
 
Yaani mmeua sekta binafsi ambayo ndo inatakiwa kuwa injini ya uchumi na mzalishaji mkubwa wa ajira tangu mlipoingia madarakani na jiwe, leo hii unakuja kuogea dhihaka kwa vijana? au tuendelee kuamini ule usemi mwenye shibe hamjui mwenye njaa......
 
Anzisha wewe uwaajiri maana sio kila Mtu ana uwezo au maono ya kuanzisha jambo.
 
Naona ameshaanza kulewa na urais......kumbe urais mtamu? Mwambie mama anasoma kitabu kimoja cha shule ya Msingi sikumbuki darasa la ngapi ila kuna hadithi ya Muwa uliozamisha meli
 
Yaani mmeua sekta binafsi ambayo ndo inatakiwa kuwa injini ya uchumi na mzalishaji mkubwa wa ajira tangu mlipoingia madarakani na jiwe, leo hii unakuja kuogea dhihaka kwa vijana? au tuendelee kuamini ule usemi mwenye shibe hamjui mwenye njaa......
Wanasiasa si watu wazuri kabisa
 
Rubbish,namtetea Samia with free will bila pay yoyote Nina maisha yangu kabisaa hayahusiani na siasa.
We mzenji mpumbafu tumesha kujua ,wacha tukujulishe tu kuwa mama yako ananyota ya mafii ,abebeki utsjisumbua bure toka lini mzanzibar akawa na akili
 
Mkuu na wewe umedakia comment hewani bila kujua aliyemquote alikuwa anataniana na mimi na kuhusu kilimo cha mbogamboga ana maana yake anayoimaanisha tofauti na hiyo yenu mliyomuelewa.
Tuendele kuchapa kazi mtoto mzuri, haya mashamba yetu ya mboga mboga yaliyotapakaa nchi nzima yanafurahisha 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…