Rais Samia: Kesi ikishatupwa na Tume ya Utumishi wa Umma isiletwe kwangu

Nilimdharau na kumchukia sana kwa kauli ile upeo mdogo sana sana
 
Unamatumaini na Samia kweli? Unaakili timamu?
 
Ohoooo kwani nchi haina Labour Court?au commission ya usuluhishi?kama hatuna ni muhimu tuwe na taasisi hizi mbili na kwa president sio jukumu lake kabisa
Jukumu la Rais ni lipi kama sio kusimamia haki ya watu wake.
 
Bila katiba mpya tutapata shida haswa kwa hawa watawala wa CCM, dawa yao ni kuwaendea kwa waganga wa kienyeji mnamalizana bila lawama.
Mh Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa amenukuliwa vibaya kwani rufaa ni utaratibu wa kisheria. Na baada ya maamuzi ya Mh Rais kama mhusika hajarizika sheria inamruhusu kwenda Mahakani.
 
Fuatilia wapo watu wameshinda rufaa zao tume na kurejeshwa kazini na kulipwa stahiki zao zote, ukiona hilo halijafanyika ujue huyo mtu hakustahili. Mambo yote yanafanyika kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu.
 
Fuatilia wapo watu wameshinda rufaa zao tume na kurejeshwa kazini na kulipwa stahiki zao zote, ukiona hilo halijafanyika ujue huyo mtu hakustahili. Mambo yote yanafanyika kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu.
Tume ya Utumishi wa Umma ni tatizooo!!!

Tume ya Utumishi wa Umma inafanya kazi like old school.

Imekuwa na kasumbua ya kutupilia mbali rufaa za watumishi ambazo background yake ni genuine kabisa.

Tume imekuwa iki-collude na waajiri wasiokuwa na maadili kukandamiza haki za watumishi.

Tume ingekuwa inafanya kazi yake kwa weledi wala kusingekuwa na inflow kubwa ya rufaa kwa Mh. Rais.

Tume ya Utumishi wa Umma iko;

1. Very defensive and selfish

2. Customer is very poor to the maximum

3. They are very poor katika kutoa mrejesho

4. Wamekuwa na tabia kurushiana sana, they are not coordinated at all

5. Uchambuzi wa rufaa za watumishi hauko makini pale Tume

Mh. Rais aiangalie hii ofisi, this is very serious!!
 
.......customer service is very poor pale Tume. Wafanyakazi hawako coordinated at all wamekuwa wakirushiana mpira pale inapotokea kuwa mtumishi anafuatilia jambo lake
 
Magufuli ndiye aliyedababisha kesi nyingi za madai dhidi ya Serikali kwa kuwa alikuwa siyo mtu anayefuata taratibu katika kuwachisha watumishi kazi. Tanzania hatamsahau kwa UDIKTETA wake
Sisi wengine tutamkumbuka Magufuli kwa kuwafanya watanzania waache kuishi maisha ya mission town
 
Mh Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa amenukuliwa vibaya kwani rufaa ni utaratibu wa kisheria. Na baada ya maamuzi ya Mh Rais kama mhusika hajarizika sheria inamruhusu kwenda Mahakani.
Nafikili ni muda muafaka wa kubadilisha sheria za utumishi katika nchi hii hasa katika suala la kutafuta haki kwa watumishi wa umma maana kwa utaratibu uliopo serikali imekuwa ikitake advantage ya kukandamiza haki ya mtumishi

Haiwezekani miaka kibao rufaa ya mtumishi wa umma inapigwa danadana kwenye ofisi ya Tume na kwa KMK

La sivyo kama ni hivyo Serikali iifute Tume ya Utumishi wa Umma ili watuimishi wapeleke case zao moja kwa moja High Court ili haki ndo ipatikane huko

Serikali imefeli sana katika hilo na imejiingiza katika kukandamiza haki za watumishi unnecessarily, watumishi wanapotezewa muda mwingi sana kwenye maeneo hayo mawili!

HAKI HUINUA TAIFA BALI DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE!!!
 
Sio kuingalia, kama hawafai, wapigwe chini tu
 
Magufuli alikuwa mchamungu feki, alikuwa kwenye msafara wake anaenda na kundi la waganga, wasukuma washamba sana nyinyi
Umewahi kujiuliza Uganga ulitoka kwa nani?shetani au Mungu???NENDA KASOME THE BOOK OF ENOCH UONE MALAIKA WALIOTUMWA NA MUNGU WANAVO WAFUNDISHA BINADAM WA ENZI HIZO UGANGA,UCHAWI,KUTENGENEZA SILAHA,VIOO,NGAO ZA CHUMA ZA KUVAA VIFUANI HADI KUKUSANYA DAWA ZA MITI NA MIZIZI NA TIBA ZAKE!!!!PIA UTAJIFUNZA KUWA NUHU ALIMPATIA KITABU SHEM KILICHO NA DAWA ZOTE NA MAGONJWA YOTE DUNIANI!NA KUMBUKA SHEM NI BABA WA WAZUNGU ANAEISHI NCHI ZA BARIDI HADI LEO!!!!
 
Kama atakaua anatoa maamuzi tofauti na ya tume hiyo tume ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…