So sad!Sahau kuhusu sheria za pesa za umma.
Nchi hii ipo ilipo sasa kwasababu ya sheria hizo hizo!
Tukiendeleza huo upumbavu, tutaendelea hivi hivi!
Tukiendelea na habari za demokrasia na utawala bora wa kuambiwa na weupe, tutaendelea kuwa weupe.
Tukiendelea na utaratibu wa haki za binadamu na kusahau kuwa wengine waliendelea kwa kutumia UTUMWA ambao ndio wakina MSOGA na the like wanaendelea kuutumia, tutakuwa kama wanyama wa kwenye Zoo.
Kwasasa, jinsi ilivyo, wenye pesa na madaraka nchini ndio MIUNGU, wasomi ndio kina MWIJAKU.
Yaani!Nilishasema policy ya huyu ni Ile Ile,kusifia marehemu akiwa ndani ,kumponda akiwa nje..ni win win situation kwake..ila kwa jinsi wapiga Kura wa tz walivyokuwa hamnazo,they fall for this act every time.
Nimeipenda hii!Hakufanya aliyoyafanya kwa kutoa mfukoni kwake. Hiyo pesa ilikuwa ya waliupa kodi na kazi yake ndiyo hiyo. Lakini alipoondoka hiyo pesa ya kodi sasa inadokolewa mno na viongozi wa zamani wa CCM pampja na wababaishaji wao kama Makamba, Nnauye, Mwigulu, Msoga Gang. pamoja na yule jizi kuu ambaye ana mameli yanayofanya biashara za magendo na madawa kila kukicha (vice chair CCM). Mama angetumia busara na kuachana na wale watu walikuwa wanamtukana JPM hadharani na asingeulizwa na yeyote kana rahisi. Lakini yeye alionyesha chuki yake kwa JPM kwa kuteua wale waliyokuwa wanamtukana mkuu wake wa kazi. Hawa ndiyo walishusha heshima ya mama. Kwani ilikuwa lazima wateua hao. Kosa kubwa na pale alipoanza kumsikiliza mwenyekiti wa Msoga Gang. Pale aliteleza kweli. Alafu sasa ndiyo wake na Makamba senior na junior wakaanza kumdanganya. Msoga Gang ilihakikisha anateua "'weak people" kama Makamba, Nnauye, na Mwigulu" ambao watampa total loyalty. Kwa vile hao waliishajifunza yaliyowapata walipojaribu kufurukuta na kumtukana JPM, walishikishwa adaba na hawataweza kuwa na kiburi cha kudhania nyadhifa za ndugu zao zinaweza kuwalinda.
Akili yako unaijua mwenyewe MkuuSasa wewe ulitaka walie au wazomee?
Hata makanisani Pepo likisutwa waumini hushangilia
Kwa vile wengi tuna roho mbaya tuna hamu ya kusikia " fulani katumbuliwa, fulani kakamatwa kwa amri ya kiongozi fulani, fulani kafukuzwa kazi jukwaani, fulani kapotezwa nk.Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi. Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia,
AMINA.
Uko sahihi kabisa....Akili yako unaijua mwenyewe Mkuu
Ni jambo jema kufurahia mamb mazuri pia tusiwachukie wanaosema mabaya yake pia, maan yote ni sehem ya uongoz husika!!Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi. Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia,
AMINA.
kiujumla bwana yule alikuwa kipenzi cha watanzania waliozoea mchezo mchafu wa wizi wa fedha za umma na ujanja ujanja hakuwahi kumpenda hadi sasa watu hao hawataki kulisikia jina hilo.Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi. Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia,
AMINA.
Inavyoonekana Mkuu.kiujumla bwana yule alikuwa kipenzi cha watanzania waliozoea mchezo mchafu wa wizi wa fedha za umma na ujanja ujanja hakuwahi kumpenda hadi sasa watu hao hawataki kulisikia jina hilo.
Jpm anapendwa na mazuzu na ambayo hayana elimu kabisa. Chunguza utagundua. Na kilichowafulihisha ni Ile ya kutumbua tumbua hivyo walikuwa wakifirahi ili wote wote wawe maskini. Hivyo ni wivu na ushamba wa baadhi ya watanzania. Hakuna msomi anayempenda jpmAsalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi.
Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia
AMINA.
Kila usikiapo kelele nyingi kutoka katika umati mkubwa wa watu haimaanishi kuwa ni shangwe wakati mwingine dalili ya watu kuonyesha kujutia jambo, janga ama dhahama kubwa iliyowakumba.Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi.
Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia
AMINA.
Inatokana na yeye binafsi kujibainisha kwa kauli na vitendo kumpinga jpm. Alianza kwa maneno kuonesha yeye hapendi ukali wala hataki wafanyakazi kua na nidhamu ya woga. Hilo likafurahiwa na wapigaji na wazembe. Pia akamtimua kijana mwanamapinduzi sabaya aliyeaminiwa sana na magufuli na kumfunga jela. Kisha akaanza kuwarudisha kwenye uongozi wale walitumbuliwa na jpm na wale waliyosikika wakimsengenya jpm na kumdharau kwa ubaya mmoja baada ya mwingine. Yote hayo yakawafurahisha fisadi na wazembe kazini. Na kuna mengine mengi.Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo;
Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa mazuri, basi umati wa watu hulipuka kwa nderemo, vifijo, shangwe na makofi.
Sasa nimekuwa najiuliza mwenyewe hapa, hivi ni kwa nini hali hiyo itokee? Halafu mbona baadhi ya watu wakimsema vibaya Hayati JPM, watu wengi ni kana kwamba huwa wanaingiwa na simanzi?!
Anyway naomba msaada kwa yule anayeweza kuniwekea ushahidi hapa wa zile video clips za wakati mradi wa Bwawa la Nyerere (JNHEP) linafunguliwa na ule Mkutano wa Mh. Rais Samia na Viongozi wa wanavyuo uliofanyika majuzi, aziweke hapa ili walau kuongezea nyama nyama kwenye mada yetu.
Ahsanteni na karibuni sana kwa maoni na matusi (maana kuna wengine bila kutukana, hajachangia)..
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Afrika Mashariki, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamiiforum na members wake wote, Mungu nibariki na mimi mtoa mada pia
AMINA.
Umeongea vizuri sana Mkuu. Mi nafikiri Mh. angejitahidi tu kumsifu mtangulizi wake na kujitahidi kufuata nyayo. Hii itamrahisishia kazi ya kujinadi mwaka 2025, kuliko akiendelea kumponda na kumpiga vijembe.Inatokana na yeye binafsi kujibainisha kwa kauli na vitendo kumpinga jpm. Alianza kwa maneno kuonesha yeye hapendi ukali wala hataki wafanyakazi kua na nidhamu ya woga. Hilo likafurahiwa na wapigaji na wazembe. Pia akamtimua kijana mwanamapinduzi sabaya aliyeaminiwa sana na magufuli na kumfunga jela. Kisha akaanza kuwarudisha kwenye uongozi wale walitumbuliwa na jpm na wale waliyosikika wakimsengenya jpm na kumdharau kwa ubaya mmoja baada ya mwingine. Yote hayo yakawafurahisha fisadi na wazembe kazini. Na kuna mengine mengi.
Matokeo yake kwake yamekua hasi. Wananchi wengi waliyompenda na kumwamini magufuli wakavunjika moyo. Mama akalijua hilo.
Sasa badala ya kumtaja magufuli kwa vijembe dhidi yake anamtaja kwa sifa pale lipo jambo lakumtolea sifa na mambo hayo yako lukuki na kila mahali. Inapobidi kumtaja magufuli wananchi hushangilia sana kwa kumsuta yeye mwenyewe. Ni kama wanampiga na yeye kijembe. Huo ni mtazamo wangu.